Mkeo akifanya hivi wewe utakubali?

Mkeo akifanya hivi wewe utakubali?

mkuu salam tu co mbaya sana

Mmh we ujawajua hawa mkuu, kijana mwingine ukimwambia niambie ndo anatongoza kabisaa na wanawake ni dhaifu sana, unataraji nini tena.
Ukiona binti yako anacheka Cheka kwa mvulana mkuu mkwe au mimba kwa mwanao upo hapo.
 
Si kila mwanamke wa kuoa.... Wengine wapo kwajili ya Kuburudisha tu wanaume...
 
Mke km mke hawezi kuolewa na mukaenda club huyo CIO mke ni Malaya tu na watu weng wanaokwenda club ni mafilauni tu hawana ndoa, mke wa ndoa na club wap na wp?
 
Mimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.
Ha ha ha we jamaa mkali....unanitisha loh
 
Mimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.

we jamaa katili kwani neno niambie lina ishu gani?
 
na hili ndilo darasa huru

Loh!! hata kama ni darasa huru, kimtokacho mtu ndicho kilichomo ndani ya nafsi yake.
Unajaua kuna tofauti kubwa kati ya maneno ya:
  • kuli na mtu alienda shule
  • Teja na mcha mungu
Nisiseme mengi, ila mmmmmh!!!! staha muhimu
 
Mimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.

Acha ujinga wewe
 
Hawezi kuwa mke,labda hawala anayekuja na kuondoka home.

Ila akishuka hatanikuta,akinifuata home atakuta home kwangu pia hakupo,kumeondoka.
 
Loh!! hata kama ni darasa huru, kimtokacho mtu ndicho kilichomo ndani ya nafsi yake.
Unajaua kuna tofauti kubwa kati ya maneno ya:
  • kuli na mtu alienda shule
  • Teja na mcha mungu
Nisiseme mengi, ila mmmmmh!!!! staha muhimu

ni kwel ila sikumaanisha alichofanya ni sahih
 
Back
Top Bottom