abour
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 735
- 311
kwanza siwezi fikia hatua ya kuoa muenda madisco kama huyo.Hivi unajua kama wanawake wengine wameshajijua wao sio wa kuolewa.
naukijichanganya kutaka kumuoa anakushangaa,.😂😂😅
kwanza siwezi fikia hatua ya kuoa muenda madisco kama huyo.Hivi unajua kama wanawake wengine wameshajijua wao sio wa kuolewa.
Mimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.
Maisha yapo hapahapa Duniani, kwenda club sio kosa, ila hatoenda alone na mimi sitoenda alone.
Unyang'au wa namna hii mwiko!
Yeye anasalimiwa..je wewe unayekodoa mimacho mkeo akufanyejeNimependa kaka itakuaje ufatane na mkeo atokee popobawa amsalimie mambo wakati so ndugu wala jirani kuna mambo gani shenzi type pigs vibao
Mimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.
Nitacheka siku nzima yaani mbavu sina
mkuu salam tu co mbaya sana
Mimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.
Hahahahahaha nimecheka sana aise mpaka watu wananishangaa hahahahaMimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.
Pengine ww huna kifua cha kubusiwa. Namwacha tu kwani kifua kitu gani
naukijichanganya kutaka kumuoa anakushangaa,.í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸…