Mkenya kaniuliza swali!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,413
8,913
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
 
Hatujapigana bado bt tuko mbioni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Alichomaanisha ni kwamba, inakuwaje Watanzania wanajua sana na kufwatilia siasa za Kenya, wakati yeye hata ukimuuliza Waziri Mkuu wa Tz hamjui, au hata ukimuuliza ni lini kuna Uchaguzi TZ hajui? hapo ndipo nikakosa jibu la kumpa!

Hatuna siasa tuna taarabu na mipasho oh leo SLaa hana baba or Nape si Manawie, Mbowe form four nk tunajadili watu zaidi ya kuweka sera zinzzokubalika !
 
ccm wasingemuonea huruma jk wakakubali mdahalo labda wangelitumia muda kutufuatilia pia
 
we are not selfishness and we are courage to know the life of others for the benefits of our country
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
 
Kijakazi, yaani ulishindwa hata kumwambia kuwa "SISI RAISI WETU NI HANDSOME BOY, anaendaga ulaya kila siku, anapiga picha na masupa staa, na Obama anamshobokea"?
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
 
Last edited by a moderator:
Alichomaanisha ni kwamba, inakuwaje Watanzania wanajua sana na kufwatilia siasa za Kenya, wakati yeye hata ukimuuliza Waziri Mkuu wa Tz hamjui, au hata ukimuuliza ni lini kuna Uchaguzi TZ hajui? hapo ndipo nikakosa jibu la kumpa!

Kama kawaida yetu..nawe ungemuuliza mbona wafaransa,wajeruman,waamerika,waiingerza and co...hawajui siasa za kenya lakin wakenya wanajua sana kinachoendelea huko......

Nb:ni jibu la kuji..ratedown_ila ndio ukweli wenyewe ingawa ni ngumu kumesa kiongosi....lo!
 
Siasa ya TZ anaijua huyo mkenya ila tu haijui kwa mabaya sisi tunawaelewa zaidi kwa siasa chafu
 
Hapana sisi Watanzania no tofauti na Kenya au nchi nyingi za africa mashariki, neseme labda vyote vya habari vinaandika habari za kenya na wa kenya hawaandiki za kwetu. Lakini ukifuatilia radio BBC na Ujerumani utaona Watanzania wanatuma sms na kupiga simu sana. Jibu kamili linahitaji utafiti.
 
Kama kawaida yetu..nawe ungemuuliza mbona wafaransa,wajeruman,waamerika,waiingerza and co...hawajui siasa za kenya lakin wakenya wanajua sana kinachoendelea huko......

Nb:ni jibu la kuji..ratedown_ila ndio ukweli wenyewe ingawa ni ngumu kumesa kiongosi....lo!

Hilo swali nisingeweza kumuuliza kwa maana jibu lake liko wazi Marekani ni Taifa kubwa na ndio maana wanajua mambo yake, sasa kwani nao Kenya ni taifa kubwa kama Marekani mpaka itufanye tusilale kutwa kujadili siasa zao, nafikiri ndio hicho kilichomshangaza?
 
Kijakazi! kuna tofauti kati ya Kenya na Tanzania!
Taarifa ya habari ya Tanzania kuna;
-Habari za Tanzania
-Afrika Mashariki & Afrika
-Mataifa mengine.
Taarifa ya habari ya Kenya:
-habari za siasa 60%, tena zote ni za Kenya.
-ikitokea kuna nyuzi za Bongo basi ujue kuna ajali imetokea Bongo ndo watangaze, chezeya Kenya wewe?
Note: Kuwa tofauti si kosa, inategemea chanzo cha utofauti...
 
Mi nadhani ungefunguka tu kuwa,yeye huenda hajaona cha kujifunza ama kuchukua kutoka tanzania.Hivyo hakuna cha kumrazimisha kuijua.lakini ninavyomjua mkenya anajiona yuko juu africa mashariki.huo ndio ukweli.:A S 39:
 
Hapana sisi Watanzania no tofauti na Kenya au nchi nyingi za africa mashariki, neseme labda vyote vya habari vinaandika habari za kenya na wa kenya hawaandiki za kwetu. Lakini ukifuatilia radio BBC na Ujerumani utaona Watanzania wanatuma sms na kupiga simu sana. Jibu kamili linahitaji utafiti.

Absolutely...Nimewahi kuwa na wakenya wengi tu hata kufanya nao kazi na mikutano nk,nk...Hawa jamaa wana kaubaguzi au sijui ni kauzalendo au sijui ni kaujinga fulani...to me ni kombination za yote hapo...ukiwasha TV kama kuna taarifa za Tanzania wala hageuzi shingo...yupo busy na novel au net....The same person yupo Tanzania hapa hapa. Ngoja asikie habari za kenya....atasikiliza na masikio na mdomo....Ngoja ashike Remote agundue kuna channel ya Citizen nk....Hamtokaa muangalie kituo kingine na mkilazimisha kubadilisha ataondoka na kuwaacha hapo...sasa sijui uzalendo, ujinga, ubaguzi, dharau ....simply i don't know!
 
Waweza kumwambia yafuatayo:

1. Tuko wote kwenye Jumuia ya Afrika Mashariki. Hivyo, ni busara kufahamu jirani au mwanachama mwenzio anafavyoendelea katika shughuli zake za kila siku.
2. Kwa sababu wa siasa zao za kikabila na ubinafsi uchaguzi wao waweza kuleta mfarakano mkubwa na kusababisha wakimbizi wengi kuja Tanzania.
3. Tunajua ardhi kubwa (arable land) ya Kenya inamilikiwa na familia ya Kenyatta, Moi, Njenga Karume na wanasiasa wengine huku wananchi wengi wakiwa hawana ardhi. Na hamu kubwa ya Wakenya ni kumiliki ardhi ya Tanzania. Bahati mbaya kwao, ni sheria ya ardhi ya Tanzania hairuhusu wageni kumiliki ardhi isipokuwa kupitia Tanzania Investment Centre (TIC).
 
Hilo swali nisingeweza kumuuliza kwa maana jibu lake liko wazi Marekani ni Taifa kubwa na ndio maana wanajua mambo yake, sasa kwani nao Kenya ni taifa kubwa kama Marekani mpaka itufanye tusilale kutwa kujadili siasa zao, nafikiri ndio hicho kilichomshangaza?

Safi sana...wakenya wanatudharau sana watanzania na ndio maana alikuuliza swali la kejeli na kipuuzi kama lile,..anajua sana kwamba wakenya wanajua siasa za tz kwa kiwango kikubwa na ndio maana wamewekeza hapa nchini...ila alifanya makusudi kukuuliza vile ili ujione mnyonge mbele yake....thanx God nawe ulikuwa ngangari mkuu
 
Mi nadhani ungefunguka tu kuwa,yeye huenda hajaona cha kujifunza ama kuchukua kutoka tanzania.Hivyo hakuna cha kumrazimisha kuijua.lakini ninavyomjua mkenya anajiona yuko juu africa mashariki.huo ndio ukweli.:A S 39:

Yapo mengi tena nani asiyewajua ni cut n paste? Hata sera zetu na miradi yetu si ndio wanabeba na kwenda kutekeleza kwa sababu ya uzembe wetu maneno mia vitendo sifuri??
 
Back
Top Bottom