HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 273
Hivi karibuni 2015 watatuelewa vizuri,by the way wakenya hawapendi kuangalia TV,Redio za nje ya Kenya ni wachache sana hata redio zao za kikabila zaidi hakuna anayeshobokea kabila la wengine wakenya,huyo hajui habari za TZ hajui hata za kabila mwenza huko Kenya.Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?