dwight
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 485
- 167
we are not selfishness and we are courage to know the life of others for the benefits of our country
boss kwanini usitumie Kiswahili tu
we are not selfishness and we are courage to know the life of others for the benefits of our country
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
Labda tu haufwatilii na kuangalia vyombo vyetu vya habari, vinginevyo lazima tu ungejua kwamba Wakenya wanafanya uchaguzi, ungejua wagombea Uraisi wote pamoja na vyama vyao, ungejua walikuwa na mdaharo kwa maana ulirushwa live TZ, na pia leo utajua kwamba Raisi wa Kenya yuko Tanzania kwani itatangazwa nchi nzima na kesho magazeti yote vichwa vikuu vya habari vitakuwa ziara ya Raisi wa Kenya Tanzania !Mbona mimi sijui mambo yao na siasa zao? Kwani mimi sio mTZ?
Labda tu haufwatilii na kuangalia vyombo vyetu vya habari, vinginevyo lazima tu ungejua kwamba Wakenya wanafanya uchaguzi, ungejua wagombea Uraisi wote pamoja na vyama vyao, ungejua walikuwa na mdaharo kwa maana ulirushwa live TZ, na pia leo utajua kwamba Raisi wa Kenya yuko Tanzania kwani itatangazwa nchi nzima na kesho magazeti yote vichwa vikuu vya habari vitakuwa ziara ya Raisi wa Kenya Tanzania !
Unadhani vyombo vya habari vya Kenya huwa havioneshi habari za TZ? Au Kikwete akienda Kenya hawamtangazi? Kwa sababu hawako interested hawafuatilii, the same na kwangu!
Na sisi tuache kufuatilia ya wengine kwa kweli, kuna mambo mengi sana tunahitaji concentration kwa huku kwetu
Kijakazi! kuna tofauti kati ya Kenya na Tanzania!
Taarifa ya habari ya Tanzania kuna;
-Habari za Tanzania
-Afrika Mashariki & Afrika
-Mataifa mengine.
Taarifa ya habari ya Kenya:
-habari za siasa 60%, tena zote ni za Kenya.
-ikitokea kuna nyuzi za Bongo basi ujue kuna ajali imetokea Bongo ndo watangaze, chezeya Kenya wewe?
Note: Kuwa tofauti si kosa, inategemea chanzo cha utofauti...
Just because your friend doesn't know anything about Tz politics doesn't mean all Kenyans feel the same way. I know so many Kenyans who constantly follow closely everything that happens in Tanzania.Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
Nilikuwa naongea na jamaa mmoja Mkenya, kama kawaida mambo ya siasa yakaanza na Uchaguzi, jamaa akaniuliza ''It seems you people you know alot about Kenyan politics, how come i dont know anything about Tanzanian politics?'' nikakosa jibu, sijui wewe ungemjibu vipi yule jamaa?
ubaguzi huwa hauishii sebuleni tu huingia kila mahali,hawa watu ni wabaguzi.Absolutely...Nimewahi kuwa na wakenya wengi tu hata kufanya nao kazi na mikutano nk,nk...Hawa jamaa wana kaubaguzi au sijui ni kauzalendo au sijui ni kaujinga fulani...to me ni kombination za yote hapo...ukiwasha TV kama kuna taarifa za Tanzania wala hageuzi shingo...yupo busy na novel au net....The same person yupo Tanzania hapa hapa. Ngoja asikie habari za kenya....atasikiliza na masikio na mdomo....Ngoja ashike Remote agundue kuna channel ya Citizen nk....Hamtokaa muangalie kituo kingine na mkilazimisha kubadilisha ataondoka na kuwaacha hapo...sasa sijui uzalendo, ujinga, ubaguzi, dharau ....simply i don't know!