Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,277
- 17,983
Hivi Babu aliwambia wache kunywa dawa zao kisukari, ukimwi, etc.Mkuu Yohana Mbatizaji, aka John the Baptist, asante for this, this is the bottom line, "Walioenda waliponywa kwa imani zao". Hata Bwana wetu Yesu Kristo, alipofanya miujiza ya uponyaji, aliwaambia walioponywa, "imani yako ndio imekuponya", wenye imani ya uponyaji, walipona, walipona, akiwemo fulani ambaye naomba nisimtaje, ili watu wasijiulize, "kumbe hata huyu alikuwa ni mgonjwa!". And I am very sorry, kwa wasio imani, walikufa.
Kinachoponya sio kikombe cha Babu, ni imani yako.
P
Walikufa kwa kukosa maarifa. Mbona jamaa yetu anadunda?