Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,347
- 3,033
Sio kila aliyekwenda Semunge kupata kikombe cha Babu wa Loliondo alikuwa mgonjwa. Kuna baadhi ya Viongozi wetu walikwenda Semunge kupata kikombe cha Babu wa Loliondo kwa nia tuu ya kuonyesha solidarity lakini hawakuwa wagonjwa.
Viongozi wengine walifika Semunge sio ili kunywa Kikombe cha Babu wa Loliondo, bali walifika pale in line of duty.
P