Je kulikuwa na ukweli wa tiba kwenye kikombe cha babu wa Loliondo?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Watanzania wenzangu nadhani nyote mnakumbuka kilichotokea katika kijiji cha Samunge Loliondo Kwa Mchungaji maarufu Kwa Mwasapila Babu.Mamia Kwa maelefu ya wagonjwa Na wazima walimfuata Mchungaji huyu ili kunywa kikombe cha Dawa.

Tulishuhudia watanzania na wasio watanzania, watu wa aina mbalimbali , wabunge mawaziri Na viongozi wa kitaifa wote walifika samunge licha ya mvua Na Barabara mbovu.Wapo waliofia kule wapo waliorudi.

Swali langu je kulikuwa Na ukweli kwenye ile Tiba?
 
Back
Top Bottom