msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,252
- 2,901
Na babu alishatoa tahadhari watu wasiache kunywa dawa za hospitali ,ila ndiyo hivyo waafrika tulivyo wapumbavu tukaenda kunywa dawa ya kisonono tukatupa dawa zakupunguza makali ya ukimwiWatu walikuwa hawafi kabla ya kuja hicho kikombe?
Umeacha dawa hospitalini na kwenda kunywa mataputapu huko porini, ukifa utasema umerogwa au umejiua kwa upumbavu wako.