Mkenya aandika kitabu akikiponda "kikombe" cha babu wa Loliondo adai kiliua watu wengi badala ya kuwaponya

Mkuu Yohana Mbatizaji, aka John the Baptist, asante for this, this is the bottom line, "Walioenda waliponywa kwa imani zao". Hata Bwana wetu Yesu Kristo, alipofanya miujiza ya uponyaji, aliwaambia walioponywa, "imani yako ndio imekuponya", wenye imani ya uponyaji, walipona, walipona, akiwemo fulani ambaye naomba nisimtaje, ili watu wasijiulize, "kumbe hata huyu alikuwa ni mgonjwa!". And I am very sorry, kwa wasio imani, walikufa.

Kinachoponya sio kikombe cha Babu, ni imani yako.
P
Hivi Babu aliwambia wache kunywa dawa zao kisukari, ukimwi, etc.
Walikufa kwa kukosa maarifa. Mbona jamaa yetu anadunda?
 
Mkuu hiyo mitishamba ilipimwa wapi ...ktk maabara zipi na ilithibitika inatibu nini!??
Dawa ya mwafrika uipime kwa kipimo Cha kupimia dawa za nzungu hapo lazima kipimo Cha dawa za mzungu kikatae dawa za mwafrika kuwa fake ili za mzungu ziuzike .Simple logic Dawa zetu hazihitaji kipimio Cha mzungu.Kitakataa tu.
 
Huyo mkenya Hana akili, Ana uthibitisho gani waliokunywa wengi wamekufa. Kuna propaganda Za kijinga zinaenezwa
Uko sahihi yaani sikiliza hiyo clip iko YouTube inaitwa ghosts of loliondo .Kuna Mzee mwongo naona yule kaokotwa tu anasema ukifika kwa babu gharama ya ya kikombeulikuwa unamkabidhi shilingi elfu 20 za Kenya mkononi ambazo Ni sawa na shilingi laki nne za Tanzania ndio anakupa kikombe unywe!!!! Toka lini Bei ya kikombe Mwasapile aliuza laki nne!!!!
 
Nakubakiana na wewe Hana reliable statitistics anaongea tu kama mwehu hewani.Kwa babu loliondo walienda mamilioni toka mataifa mbalimbali walitoka nchi za Afrika mashariki,Kati na kusini nk.Yeye kahoji Wakenya wenzie wachache Tena wa kabila Yake wawili watatu anakuja na conclussion kuwa wengi walikufa!!!! As if walioenda kunywa kikombe ni Wakenya Tena wa kabila lake tu na ndio waliokufa Tena haweki Ushahidi wa vifo vyao Kama death certificate na proof kuwa walienda Loliondo kwa babu na kunywa kikombe nk!! Hicho kitabu kipigwe marufuku kuuzwa Tanzania kisikanyage kabisa .
Mkuu ndio sampling yake kwenye tafiti
 
Wengi mnaomponda babu, hakika mnaumia tu kwa kijicho au kwa lugha ya mtaani imekula kwenu.

Babu amefanya jukumu lake kwa nafasi yake ikiwa ametumia miti shamba na wale wanaomkejeli kuua watu sioni logic zaidi ya kumsema ni mlozi.
 
Raia mmoja wa Kenya ambaye ni muathirika wa HIV aids ameandika kitabu akielezea safari yake ya Samunge Loliondo alikoenda kunywa kikombe cha babu mchungaji Mwaisapile.

Mkenya huyo adai kikombe cha babu hakikuwa na uponyaji wowote kwani yeye hakupona na wengi alioenda nao kutokea Kenya walikufa baada ya kurejea nyumbani.

Katika makala iliyorushwa na Citizen tv wamehojiwa watu wengi wakiwemo waliokwenda kutibiwa na wale waliopeleka wagonjwa wao huko Samunge.
Wengi wameonyesha kumlalamikia Mwaisapile aka babu wa Loliondo kuwa aliwatapeli.
Source Citizen tv

My take; Walioenda kwa babu waliponywa kwa imani zao!

NB: Mahojiano yataendelea leo Jumatatu ambapo mchungaji Mwaisapile aka babu wa Loliondo ataelezea maono yake. Saa 3 usiku Citizen tv!

images (2).jpeg

Huyu naye ahojiwe kama amepona. Maana kikombe nasikia kimevuruga akili za wengi
 
Mkuu ndio sampling yake kwenye tafiti
Sample ndogo haitoshi kufikia conclussion aliyofikia na pia hana evidence za KU support Kama Ushahidi wa vyeti vya hospitali wya hao anaosema walikuwa wanauma Hana Ushahidi kuwa walisafiri kwenda loliondo kunywa dawa na Hana Ushahidi wa vyeti vya vifo Kama death certificates nk
 
Inawezekana ilikuwa ni placebo, mtu unaweza kupewa maji tupu ukaambiwa hiyo ni dawa inayoaminika kuponya kansa na ukapona kweli, lakini kuna wengine wataaminishwa hivyo na hawatapona. Babu wa loliondo alicheza na saikolojia za wagonjwa.
 
Hiki kibabu kifungwe hiki

Tukiendee kwa mbinu kisije kitushtaki kama kile cha eabasi
 
Raia mmoja wa Kenya ambaye ni muathirika wa HIV aids ameandika kitabu akielezea safari yake ya Samunge Loliondo alikoenda kunywa kikombe cha babu mchungaji Mwaisapile.

Mkenya huyo adai kikombe cha babu hakikuwa na uponyaji wowote kwani yeye hakupona na wengi alioenda nao kutokea Kenya walikufa baada ya kurejea nyumbani.

Katika makala iliyorushwa na Citizen tv wamehojiwa watu wengi wakiwemo waliokwenda kutibiwa na wale waliopeleka wagonjwa wao huko Samunge.
Wengi wameonyesha kumlalamikia Mwaisapile aka babu wa Loliondo kuwa aliwatapeli.
Source Citizen tv

My take; Walioenda kwa babu waliponywa kwa imani zao!

NB: Mahojiano yataendelea leo Jumatatu ambapo mchungaji Mwaisapile aka babu wa Loliondo ataelezea maono yake. Saa 3 usiku Citizen tv!
Kupona ni imani yako tu. Mimi nilipata kikombe cha babu kwa tatizo la kuwahi kumaliza na tatizo langu lilimalizika.
 
Na babu alishatoa tahadhari watu wasiache kunywa dawa za hospitali ,ila ndiyo hivyo waafrika tulivyo wapumbavu tukaenda kunywa dawa ya kisonono tukatupa dawa zakupunguza makali ya ukimwi
Kweli kabisa , kikombe cha babu kiliponya magonjwa na si kifo.
 
Raia mmoja wa Kenya ambaye ni muathirika wa HIV aids ameandika kitabu akielezea safari yake ya Samunge Loliondo alikoenda kunywa kikombe cha babu mchungaji Mwaisapile.

Mkenya huyo adai kikombe cha babu hakikuwa na uponyaji wowote kwani yeye hakupona na wengi alioenda nao kutokea Kenya walikufa baada ya kurejea nyumbani.

Katika makala iliyorushwa na Citizen tv wamehojiwa watu wengi wakiwemo waliokwenda kutibiwa na wale waliopeleka wagonjwa wao huko Samunge.
Wengi wameonyesha kumlalamikia Mwaisapile aka babu wa Loliondo kuwa aliwatapeli.
Source Citizen tv

My take; Walioenda kwa babu waliponywa kwa imani zao!

NB: Mahojiano yataendelea leo Jumatatu ambapo mchungaji Mwaisapile aka babu wa Loliondo ataelezea maono yake. Saa 3 usiku Citizen tv!
Si kila mgonjwa wa malaria anaponyeshwa na quinine... Natumia mimi napona anatumia mwingine anakufa kabisa
Babu hakuwahi kujitangaza popote... Hakumfuata mtu alifuatwa
 
Raia mmoja wa Kenya ambaye ni muathirika wa HIV aids ameandika kitabu akielezea safari yake ya Samunge Loliondo alikoenda kunywa kikombe cha babu mchungaji Mwaisapile.
Mkenya huyo adai kikombe cha babu hakikuwa na uponyaji wowote kwani yeye hakupona na wengi alioenda nao kutokea Kenya walikufa baada ya kurejea nyumbani.
Katika makala iliyorushwa na Citizen tv wamehojiwa watu wengi wakiwemo waliokwenda kutibiwa na wale waliopeleka wagonjwa wao huko Samunge.
Wengi wameonyesha kumlalamikia Mwaisapile aka babu wa Loliondo kuwa aliwatapeli.
Source Citizen tv
My take; Walioenda kwa babu waliponywa kwa imani zao!
NB: Mahojiano yataendelea leo Jumatatu ambapo mchungaji Mwaisapile aka babu wa Loliondo ataelezea maono yake. Saa 3 usiku Citizen tv!

Tapeli tu,kaua kweli.hakuwa na uponyaji wwote.
 
Uko sahihi yaani sikiliza hiyo clip iko YouTube inaitwa ghosts of loliondo .Kuna Mzee mwongo naona yule kaokotwa tu anasema ukifika kwa babu gharama ya ya kikombeulikuwa unamkabidhi shilingi elfu 20 za Kenya mkononi ambazo Ni sawa na shilingi laki nne za Tanzania ndio anakupa kikombe unywe!!!! Toka lini Bei ya kikombe Mwasapile aliuza laki nne!!!!
Laki 4 hata mimi nimeshangaa sana
 
Hehehe another one, dini ni nuksi tushasema mara kibao hapa. Babu wa loliondo si wa kwanza na hatakua wa mwisho, hamumuoni TB Joshua anavyowakamua watu pesa daily? kudadeki na mtanyooka
 
Hivi wakenya wanaitafuta nn Nchi yetu?kila siku wao ni kuichokonoa chokonoa tu,mara waseme Mlima Kilimanjaro ni kwao,Olduvai,huyo babu Mwasapile wenyewe wakwao..hiyo yote wakaona haitoshi sasa wanaanza kuikashifu Nchi yetu..kwani huyo babu kuna mtu yeyote alimtangazia kuwa aende kwake atatibiwa?si nye..ge zao wenyewe ndio zimewaleta?kwa hio kwa vile yeye hajapona ndio babu Mwasapile hafai?je wale walioenda wakapona nao waandike kitabu kama yeye?Issue ninayoiona hapa sio ukweli or uongo wa babu Mwasapile bali ni kuibagaza Nchi yetu dhidi ya tunu mbalimbali tulizojaaliwa na MwenyeziMungu,hawa Wakenya huwa wana Wivu na Husda mbaya sana dhidi yetu..inatakiwa huyo mwandishi ashtakiwe akathibitishe mahakami pasi na shaka kuwa babu alikuwa tapeli..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Back
Top Bottom