Mkenya aandika kitabu akikiponda "kikombe" cha babu wa Loliondo adai kiliua watu wengi badala ya kuwaponya

Huyo mkenya Hana akili, Ana uthibitisho gani waliokunywa wengi wamekufa. Kuna propaganda Za kijinga zinaenezwa
Nakubakiana na wewe Hana reliable statitistics anaongea tu kama mwehu hewani.Kwa babu loliondo walienda mamilioni toka mataifa mbalimbali walitoka nchi za Afrika mashariki,Kati na kusini nk.Yeye kahoji Wakenya wenzie wachache Tena wa kabila Yake wawili watatu anakuja na conclussion kuwa wengi walikufa!!!! As if walioenda kunywa kikombe ni Wakenya Tena wa kabila lake tu na ndio waliokufa Tena haweki Ushahidi wa vifo vyao Kama death certificate na proof kuwa walienda Loliondo kwa babu na kunywa kikombe nk!! Hicho kitabu kipigwe marufuku kuuzwa Tanzania kisikanyage kabisa .
 
Jana nimeona hiyo makala citizen TV iliitwa ghost of loliondo wamehoji watu walioenda kwa babu na athari walizozipata, wengi wao wameshakufa leo j3 makala inaendelea kwa mwandishi kuhojiana na babu ambilikile mwaisapile, ni makala nzuri sana.
Saa ngapi mkuu??
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, aka John the Baptist, asante for this, this is the bottom line, "Walioenda waliponywa kwa imani zao". Hata Bwana wetu Yesu Kristo, alipofanya miujiza ya uponyaji, aliwaambia walioponywa, "imani yako ndio imekuponya", wenye imani ya uponyaji, walipona, walipona, akiwemo fulani ambaye naomba nisimtaje, ili watu wasijiulize, "kumbe hata huyu alikuwa ni mgonjwa!". And I am very sorry, kwa wasio imani, walikufa.

Kinachoponya sio kikombe cha Babu, ni imani yako.
P
Mkuu mbona hujaandika jinsi hiki kikombe kilivyotumika kuzika mjadala wa kampuni tata ya kuzalisha umeme ya Dowans? Hiki kikombe kilikuwa ni Kiki ya kisiasa tu hakuna jingine.
 
lakini babu hajawaita.
Huyo mwandishi anatakiwa kushtakiwa kwa kuipaka matope Tanzania.Mbona kwenye kitabu hajaweka Ushahidi wa kuthibitisha kuwa yeye na watu wake hao anaosema walikufa kuwa walienda Loliondo kwa Mzee Mwasapile kunywa kikombe.Wanasheria kesi ya bure hiyo msiseme kazi hazipo.Huyo mwandishi nawakabidhi kwenu mburuzeni mahakamani akatoe Ushahidi tu walau wa kuthibitisha kuwa alienda Loliondo kwa Mwasapile kunywa kikombe.Mwaweza tumia njia mbili ya kwanza kufungua kesi kwa niaba ya Mzee Mwasapile na kudai fidia kwa Mzee watu kudhalilishwa na mtu ambaye hakwenda kwake kunywa kikombe na kumwandikia kitabu wakati hakuwa mteja wake.Njia ya pili Ni kufungua kesi yakupinga kama wazalendo wa nchi hicho kitabu nk
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, aka John the Baptist, asante for this, this is the bottom line, "Walioenda waliponywa kwa imani zao". Hata Bwana wetu Yesu Kristo, alipofanya miujiza ya uponyaji, aliwaambia walioponywa, "imani yako ndio imekuponya", wenye imani ya uponyaji, walipona, walipona, akiwemo fulani ambaye naomba nisimtaje, ili watu wasijiulize, "kumbe hata huyu alikuwa ni mgonjwa!". And I am very sorry, kwa wasio imani, walikufa.

Kinachoponya sio kikombe cha Babu, ni imani yako.
P
Amen!
 
Politiki.
Badala ya kulipa deni unamgeuzia kibao anayekudai kisha unajiona wewe mjanja kumbe unajivunjia uaminifu na heshima kwa waliokuwa wanakupenda.
Umenikumbusha ya mzee Nyunyusa wa mtoni na ngoma zake kumi, alienda kwenye uponyaji ili aweze kuona, macho ziiii! Akaambiwa uponyaji ni imani, politiki.
 
Babu aliibuka kipindi ambacho kashfa kubwa za kifisadi zikiwa moto, kikombe chake kiliachiwa baada ya kuonekana akili za watu na media zimehamia, hivyo kufifisha kashfa za kifisadi.

Poleni wahanga
Umenikumbusha mahakama ya Kadhi!
 
Huyo mkenya anatutafuta maneno sisi tunaongea kifua mbele Raisi wetu na mawaziri kibao na viongozi wa serikali kibao walikunywa hicho kikombe Tena mbele ya waandishi wa habari wa ndani na nje na kamera zao zikuchukua picha hawajafa wako wazima Hadi Leo Hicho kitabu ipige marufuku kukanyaga Tanzania.Kimejaa uongo na udhalilishaji kwa mtanzania mwenzetu Mzee Mwasapile tunayemheshimu Sana na kinadhalilisha nchi yetu na tiba zetu asilia za kikombe Cha babu
 
No!, No!, No!, Mkuu Tindo, kikombe cha Babu wa Loliondo sio ushirikina, ni mitishamba au tiba asili, hadi Wazungu wanaitumia as alternative medicine, wenzetu Wachina wameiendeleza sana na kuisambaza dunia nzima as TCM (Traditional Chinese Medicine) and it real works.
Tofautisha tiba asili na ushirikina.
P
Mkuu hiyo mitishamba ilipimwa wapi ...ktk maabara zipi na ilithibitika inatibu nini!??
 
Raia mmoja wa Kenya ambaye ni muathirika wa HIV aids ameandika kitabu akielezea safari yake ya Samunge Loliondo alikoenda kunywa kikombe cha babu mchungaji Mwaisapile.

Mkenya huyo adai kikombe cha babu hakikuwa na uponyaji wowote kwani yeye hakupona na wengi alioenda nao kutokea Kenya walikufa baada ya kurejea nyumbani.

Katika makala iliyorushwa na Citizen tv wamehojiwa watu wengi wakiwemo waliokwenda kutibiwa na wale waliopeleka wagonjwa wao huko Samunge.
Wengi wameonyesha kumlalamikia Mwaisapile aka babu wa Loliondo kuwa aliwatapeli.
Source Citizen tv

My take; Walioenda kwa babu waliponywa kwa imani zao!
kitabu kinaitwaje?
 
Huyo aliyesema hivyo ni Yesu nabii wa Mungu, je Mwasapile alikuwa nabii wa Mungu hadi aweze kuponya watu kwa kumuamini??!!------ the Mwasapile calibre= the Jesus calibre??!🤔
Kiswahili anachotumia pascal ni kigumu.???
 
Sio kila aliyekwenda Semunge kupata kikombe cha Babu wa Loliondo alikuwa mgonjwa. Kuna baadhi ya Viongozi wetu walikwenda Semunge kupata kikombe cha Babu wa Loliondo kwa nia tuu ya kuonyesha solidarity lakini hawakuwa wagonjwa.

Viongozi wengine walifika Semunge sio ili kunywa Kikombe cha Babu wa Loliondo, bali walifika pale in line of duty, ili kumfacilitate mfano watu wa Tanesco waliompelekea umene wa faster, walikunywa kikombe, watu wa Tanroad waliompelekea barabara ya fasta, walikunywa kikombe akiwemo Mkuu wa Mabarabara wa enzi hizo, na watu wengine wote, waliofika Semunge kwa Babu wa Loliondo for logistical reasons, pia nao walikunywa kikombe kikombe cha Babu wa Loliondo bila kujalisha wanaumwa au la.

P
Wengine waandishi walienda kikazi wakajikuta wanakinywea kikombe!
 
Tanzania Ina Uhuru na demokrasia kubwa mtu akiumwa Yuko huru kwenda hospitali au kwenda kunywa kikombe Cha kishirikina Cha babu.Wewe kinakuwasha Nini?

Mimi nimechukua nafasi hii kuwapongeza washirikina wala sijamzuia yoyote.
 
No!, No!, No!, Mkuu Tindo, kikombe cha Babu wa Loliondo sio ushirikina, ni mitishamba au tiba asili, hadi Wazungu wanaitumia as alternative medicine, wenzetu Wachina wameiendeleza sana na kuisambaza dunia nzima as TCM (Traditional Chinese Medicine) and it real works.

Tofautisha tiba asili na ushirikina.
P

Havina tofauti ndio hizo hizo.
 
Mwafrika hasikii raha mpaka aishi kama wanavyoishi wazungu aka utamaduni wa Wazungu kwa Mwafrica ndio ustaarabu ndio maana hata kufikiri tumewaachia Wazungu.
 
Mleta mada naomba u attach hiyo video imeshatoka YouTube inaitwa ghosts of Loliondo.Iweke watu wasililize wenyewe .Citizen TV wanapaswa kushitakiwa au kufungiwa wasionekane Tanzania sababu mtangazaji wao kaanza kutoa conclussion kabisa kuwa loliondo was the biggest scandal mwanzo kabisa was kipindi.Anaita biggest scandal kwa niaba ya Citizen TV Kama mtangazaji wake.Nadhindwa KU attach naomba moderators saidieni au yeyote anayeweza attach aweke.ipo YouTube inaitwa ghosts of loliondo
 
Back
Top Bottom