Mkemia ni nani hasa?

Mkemia ni nani hasa?

ALU255

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,089
Reaction score
2,125
nasikiasikia tu mkemia ila sijajua ni mtu wa aina gani na inatakiwa usome masomo gani ili uwe mkemia..
tafadhali mwenye kujua anijuze zaidi au kama kuna mkemia humu aseme sehemu alizopitia hadi kuwa mkemia
 
Mimi ni mkemia

Nimesoma bachalor degree ya chemistry pale udsm

Sijui kwa maelezo haya utakua umeelewa
 
ajira zipo wala usiwe na hofu

vipi mdogo wangu unataka kuwa mkemia?

upo level/kidato cha ngapi kwa sasa?

nimechaguliwa special diploma udom (chem&math) vipi kwa baadae nikitaka kujiendeleza naweza kuwa mkemia?
 
yes inawezekana kabisa cha msingi kaza ufaulu vizuri kwenye hiyo program yako, all the best mdogo wangu
 
thanks,,kwahiyo nikipiga diploma chem&math kwenye degree nikapige chem pekeake?
 
yes unaweza kusoma bsc chemistry baada ya kumaliza diploma yako

au unaweza soma bsc with education (chem and math) halafu baadae unasoma masters of science in chemistry,,mwalimu wangu mmoja wa olevel alipita njia hii sasa ni mkemia kaspecialize kwenye mafuta na gesi japo ni njia ndefu kidogo
 
Akimaliza Masters of Science in Chemistry, ajitahidi awe na PhD ya Chemistry na ataweza kuwa mgombea urais kupitia CCm Kama John Pombe
 
Mkemia ni mtu aliyesomea alchemy.Lengo la alchemy ni kutengeza kemikali itwayo lapis philosopharum(latino) au philosophers stone(kingereza) au jiwe la mwanafalsafa(kiswahili). Sifa kuu ya lapis phiosopharum ni uwezo wa kubadilishi chuma chakavu kuwa dhahabu(conversion of base metal to rare metal). Sifa nyengine ukinywa kemikali hii dosi vijiko 2x3 basi unapata ujana na uzima wa milele(eternal youth and immortality).
Kemia imetoka mbali.Swadta swali jengine.
 
yes unaweza kusoma bsc chemistry baada ya kumaliza diploma yako

au unaweza soma bsc with education (chem and math) halafu baadae unasoma masters of science in chemistry,,mwalimu wangu mmoja wa olevel alipita njia hii sasa ni mkemia kaspecialize kwenye mafuta na gesi japo ni njia ndefu kidogo

basi ngoja niwe kwanza mwalimu then nikawe mkemia
 
Sifa nyengine ukinywa kemikali hii dosi vijiko 2x3 basi unapata ujana na uzima wa milele(eternal youth and immortality).
Kemia imetoka mbali.Swadta swali jengine.

kuwa serious mkuu
 
yes unaweza kusoma bsc chemistry baada ya kumaliza diploma yako

au unaweza soma bsc with education (chem and math) halafu baadae unasoma masters of science in chemistry,,mwalimu wangu mmoja wa olevel alipita njia hii sasa ni mkemia kaspecialize kwenye mafuta na gesi japo ni njia ndefu kidogo

nashukuru kwa maelezo yako mkemia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom