Waliitwa lini mkuu na why wasitangaze public kuwa hakuna usaili?Baada ya uchunguzi wangu Wa kina pamoja na kujaribu kuwatafuta watu waliotwa kwenye interview ya TRA Dodoma .
Leo hii nahitimisha kuwa walioomba TRA na hamjaitwa ushapita hio Interview ilishafanywa zamani na utumishi walichambua very talented in terms of experience and Elimu ndio walioitwa wengine waliona ni jau na lawama kuwaita watu kati hizo nafasi zilishakuwa fixed na intern pamoja na wamchongo.
NB:Tuendelee kula nyama ziko chini