Chocolate25
Member
- Feb 1, 2021
- 13
- 19
Dah umenikumbusha kidonda, nlifanya interview Tasac hata majibu ya marks hayakutoka wala nn... yalitoka tu majina paaap, wameitwa kazini....Acha Uongo. Mtoto gani na wa Nani??
Watoto wa wakubwa hawafanyi Kazi TRA. Tena kwa position hizo ndo hamna kabisa. Ingekuwa Tasac au TPA au hata TPDC ningekubali. TRA kawaida Sana. Endelea kusubiri utaitwa najua na wewe ni Job seeker
Endelea kuota tuu aliyekuwa CEO wa Tanroad kwa miaka nenda rudi na swahiba mkubwa wa hayati Magufuli ambaye tukiwa tunaenda Airport lazima tupite ktk daraja lililopewa jina lake mwanae yupo TRA sio vizuri kuwaorodhesha ila huyo nimekupa kama mfano tuAfu watu hawajui tu kazi za tra zilivyo ngumu,kuzunguka Juani kama wale watu wa sales,pia target ya makusanyo unawekewa kulingana na ukubwa pamoja na hali ya uchumi ya wahusika.so hapo automatically watoto wa vibosile hizo kazi hawawezi
Yaani ukipata unaweza usiamini kama uko bongo au Dubai. Jamaa wanamshahara mtamu. Posho za kutosha. Pole Sana kwa kosa Keki ya TaifaDah umenikumbusha kidonda, nlifanya interview Tasac hata majibu ya marks hayakutoka wala nn... yalitoka tu majina paaap, wameitwa kazini....
Tutarudi wakati mwingine tukiwa na morali na nguvu zaidi na tutashinda kwa kishindo. Usikate tamaa hommie, natambua jinsi inavyokua inauma.Mwaka Jana nilifanya mtihani wa customs officer pale duce cjui nimefelije ule mtihani yaani cjui mnk mdog angu alifanya kafau kbsa fresh baada nimekuja kurejelea faili fln HV deza nimelipata mahali maswal yote yalikuhemo mle kwa kweli ckujiandaa nilipomaliza mtiani nilienda Moja kwa moja Kulia zangu baharin nikitafakari nilivyofelinilisikitika San leo hi mdog wangu Yuko kazin Tena likizo kbsaa mm bado
ndio maisha kokote watu wanajenga experience na connection . hao ambao wapo kazini ndio wanakuwa competent sana na wanachukua nafasi kiulaini , nashangaa nyie mnaolialia kuhusu watu walioajiriwa kuomba kazi zengine. cha kushangaza mkifika kwenye paper mnaambulia 4 (NOT SELECTED). hao ambao wapo kazini ndio wanatoboa .Tatizo la nafasi za TRA ni kwamba MPAKA WENYE AJIRA NAO WANAOMBA.
#YNWA
Umejuaje?Kama unajua ulituma vyeti ambavyo havina muhuri wa mwanasheria au udhibitisho wa Mahakama basi jihesabu HAUMO πππ.. Utumishi wameanza ujanja ujanja. Wanapunguza watu kwa Sababu kama hizo. Jipangeni
Natabiri tu Ndugu yanguUmejuaje?
Huo si utabiri, ni kweli kuna watu washafykelewa mbali kwa reason ya certified copyNatabiri tu Ndugu yangu
Sio muhuri tu,hata kama hukusaini barua wanakuchinja.Kama unajua ulituma vyeti ambavyo havina muhuri wa mwanasheria au udhibitisho wa Mahakama basi jihesabu HAUMO πππ.. Utumishi wameanza ujanja ujanja. Wanapunguza watu kwa Sababu kama hizo. Jipangeni
Sio muhuri tu,hata kama hukusaini barua wanakuchinja.
Kusaini ilikuwa lazima tangu muda tu. Ila muhuri naona ni utararibu MpyaSio muhuri tu,hata kama hukusaini barua wanakuchinja.
umeanza kuomba lini sio utaratibu mpya wa kiverify vyeti ni toka kitambo mkuuKusaini ilikuwa lazima tangu muda tu. Ila muhuri naona ni utararibu Mpya
Never give up. Life isn't normalized.Mwaka Jana nilifanya mtihani wa customs officer pale duce cjui nimefelije ule mtihani yaani cjui mnk mdog angu alifanya kafau kbsa fresh baada nimekuja kurejelea faili fln HV deza nimelipata mahali maswal yote yalikuhemo mle kwa kweli ckujiandaa nilipomaliza mtiani nilienda Moja kwa moja Kulia zangu baharin nikitafakari nilivyofelinilisikitika San leo hi mdog wangu Yuko kazin Tena likizo kbsaa mm bado
Shida ni kufumania madesa yenye possible. Examiner wa bongo hasahishi uelewa amekaririshwa majibu. Sijui kwanini wasiwe na.test dizaini Kama GRE/GMAT hivi.Tutarudi wakati mwingine tukiwa na morali na nguvu zaidi na tutashinda kwa kishindo. Usikate tamaa hommie, natambua jinsi inavyokua inauma.
Vumilia ni mwezi huu wa January kitaeleweka naamini hivoHawa watu wako slow sana