Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Hizi nafasi zilienda wpi jamani tangu August Hadi leo hii au wamehairisha ujue wanaweza wakawwa wamehairisha kwa nyakati hiz Hili ni jambo la kawaida hawaogop now
 
Hizi nafasi zilienda wpi jamani tangu August Hadi leo hii au wamehairisha ujue wanaweza wakawwa wamehairisha kwa nyakati hiz Hili ni jambo la kawaida hawaogop now
Tulipo fikia hali ni mbaya sana, watu wanaishi kama mashetani, nchi imekua ngumu kutafuna na chungu kumeza
 
Hizi nafasi zilienda wpi jamani tangu August Hadi leo hii au wamehairisha ujue wanaweza wakawwa wamehairisha kwa nyakati hiz Hili ni jambo la kawaida hawaogop now
Nikikumbuka pesa niliyowapa wale madogo kwa intavyuu roho inauma alafu wakawahirisha paper, kwa kuvuja.
 
Sheria ya tangazo la kazi ikishapita miezi 3, basi ujue usaili umeshaghairishwa
 
Nec wenyewe waliitisha watu kwenye usahili mwezi wa kumi na Moja lakn Hadi leo hawajatoa majina ya watu kuanza kazi, sijui walizifuta juu kwa juu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hizi nafasi zilienda wpi jamani tangu August Hadi leo hii au wamehairisha ujue wanaweza wakawwa wamehairisha kwa nyakati hiz Hili ni jambo la kawaida hawaogop now
Marehemu alale mahali pema
 
Safi Sana, kilimo kwanza.Mapori Ni mengi Sana
utavuruga raia
Screenshot_20220204-192114.jpg
 
Hawa mbuzi wa utumishi wanaudhi sana,yani watu tumeapply tangu 23 October 2021 eti mpaka leo hawajaita tu watu kwenye interview. Majitu kama haya ndio Magufuli alikua anayatumbua yakawa yanalalamika kuonewa.

Screenshot_20220204-202838_Opera Mini.jpg
 
Mtu mpaka unafika chuo kikuu means kuna psychological barriers kibao tu unaweza kuziovercome.
Direction ya kusoma na direction ya ridhiki havifanani, ukiwa shule unajua ukikaza Buti unamaliza stage moja kwenda ngazi nyengine ya juu ya elimu, hivyo formula inakua applied.
Ridhiki au life is all about luck hakuna formula bro, ni mwendo wa sodoma na ghomora tu
 
Back
Top Bottom