Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

Aisee kumbe haya matukio yako Real.

Najuaga ni stori za mitaani tu.

Hivi kweli inaweza kunitokea na Mimi kwa Mke wangu?

I dont Think so
Mwanamke akianza kuona unaingiza pesa nyingi akianza kuwaambia wenzake tu tayari wanaweza kumtia sumu kwamba akuache apate pesa ajisimamie mwenyewe, na wanawake walivyo rahisi kubrain wash ni rahisi hasa hawa wasomi wanaoamini falsafa za miss independent boss lady mwanamke kujisimamia mwenyewe
 
Niliwahi kuwa na mke tuliachana 2020 akaambulia pesa milioni 40, gari, kiwanja, n.k.... wenzake walimjaza upepo wa umalkia wa nguvu / miss independent.. Iliniuma ila ilikuwa funzo. >> Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)

So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bondo nyumba, kiwanjaa, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,

, ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, kawahi kunipa milioni 1 cash aliniambia alikuwa anazitunza kwenye helaa nazompa zinisaidie marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipokee huwa namwambia ni kweli nadaiwa ila kwavile nampenda siwezi jibana kwake, ni sharti lazima nile nyumbni au niondoke na chakula hii kitu alipiga sana kelele migahawa inanimalizia pesa, n.k.

advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex nampa 10/10 ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za vitu muhimu tu,She is very supportive na huwa ananipa peace of mind
Unaliwa timing
 
Back
Top Bottom