edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,217
- 983
Huwa nashangaa sana mitazamo ya watu kuhusu wanawake
Habari wakuu mimi ni mwanaume niliyekamilika ninakerwa sana na tabia ya wife wangu ya kupost picha zake facebook kitu ambacho binafsi nakiona kama ni ukosefu wa maadili,nilishamuonya mara kadhaa lkini hataki kunisikia Je naweza kutumia njia gani kukomesha tabia hii?Je hata wanaume wengine mpo kama mimi au nyie mnafurahia kuona picha za wake zenu kwenye mitandao?Sasa sijui huu ni ushamba! Toa ushauri Matusi sitaki.
Kuna umuhimu sana bro mimi binafsi siyo mtu wa mauzo hata kidogo.View attachment 502648
Niliamua kuchana na kuanika maisha yangu kwenye social media, sio kila mtu anakutakia mema so you're Better off private.
Dada yangu ana watoto watatu wazuri sana under 5, Yuko what'sapp tu na hajawahi kuwaweka hata Siku moja! Huko ofisini watakuwa wanawaza kama ana watoto kweli. Nilikuwaga Simuelewi lakini sasa naona kachagua fungu jema kuwa private.
Sanasana tuna family group what'sapp ndo huwa tunatumiana picha za watoto na family gatherings
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi unaona anavyofanya ni sahihi? si atakutana na akina HR 666