IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Habari wakuu mimi ni mwanaume niliyekamilika ninakerwa sana na tabia ya wife wangu ya kupost picha zake facebook kitu ambacho binafsi nakiona kama ni ukosefu wa maadili,nilishamuonya mara kadhaa lkini hataki kunisikia Je naweza kutumia njia gani kukomesha tabia hii?Je hata wanaume wengine mpo kama mimi au nyie mnafurahia kuona picha za wake zenu kwenye mitandao?Sasa sijui huu ni ushamba! Toa ushauri Matusi sitaki.