Yawezakua roho yako yachumaMkuu katika mahusiano(rafiki,mchumba,mke e.t.c)issue ya kupenda huambatana na gharama kubwa sana,hicho unachokizungumzia hapa ni miongoni mwa gharama(in term of wivu) ambazo unapaswa kuzitoa kwa kumpenda huyo mwanamke!!........ndo maana mimi sijaoa mtu ambae nampenda kwa sababu kila saa nitakuwa rohoo juu juu kwa lolote afanyalo hata kama ni jema kisa wivu!!.......Mimi mke wangu niliemuoa huwa simpendi/sikumpenda na nilimuoa makusudi kwa sababu alikuwa na sifa kubwa ya mimi kutompenda kwa hiyo muda wote huwa nakuwa na amani,akiwa anachat na watu,anaweka mapicha facebook,anachelewa kurudi nyumbani jioni,akiwa kwenye biashara zake,akiwa na marafiki wa kiume,akiwa anachekacheka na wanaume wengine e.t.c yote hayo mimi nakuwa na amani na furahaa full na hicho kimefanya maisha yangu kuwa ya furahaa na amani sana!!
Mkuu somoney hebutupe mazara ya mke kujiunga kwenye magroup ya wasupPole sana mkuu
Kweli tuna tofautiana...Mm sion haja ya kumnyima uhuru mke Wang....maana najua kufanya hivyo ni kumjengea mazingira ya kuuvunja uaminifu...ila sio kujiunga na magrp wsp n.k
MmhAnatumia jina gani huko facebook shemeji tumfuate tumuonye hukohuko?
Naona kama nitamuonea,but nitafanya hivyo.
Ni mbinu nzuri, nina furahaa sana kwa sababu sina hofu ya mke wangu kuliwa!......Aliwe asiliwe sawa tu wala sina wivu kwa sababu nilichagua ambae simpendi!Yawezakua roho yako yachuma
Hili nalo nenoUnaposema umeshamuonya. ...umemweleza kwa kina sababu gani hupendi. ....na je umemsikiliza yeye kwanini hazioni sababu zako si za muhimu?
Pengine attention imepungua kutoka Kwako. ..kaamua kuitafuta huko fb.
Habari wakuu mimi ni mwanaume niliyekamilika ninakerwa sana na tabia ya wife wangu ya kupost picha zake facebook kitu ambacho binafsi nakiona kama ni ukosefu wa maadili,nilishamuonya mara kadhaa lkini hataki kunisikia Je naweza kutumia njia gani kukomesha tabia hii?Je hata wanaume wengine mpo kama mimi au nyie mnafurahia kuona picha za wake zenu kwenye mitandao?Sasa sijui huu ni ushamba! Toa ushauri Matusi sitaki.
Sasa hofu yenu ni kuchepuka au kuweka picha Facebook? Kama hofu yenu ni kuchepuka mwanamke anaweza kukuridhisha wewe utakavyo kwa namna unavyombana na kumnyima uhuru wake,lakini akawa ni nyoka mkubwa sana ukimuachia dk moja tu anakusambalatisha mazimaa!!Mtoa hoja anaamini kuwa anaweza kuchepuka. Unajua kinga ni bora kuliko kuponya na ukiangalia risk ya kuachana na kuanza upya ni afadhali abiria achunge mzigo wake mwenyewe. Sie ni wanaume tunajua mazoea yanavyoleta kugusanisha vikojoleo. Au siyo mkuu
Habari wakuu mimi ni mwanaume niliyekamilika ninakerwa sana na tabia ya wife wangu ya kupost picha zake facebook kitu ambacho binafsi nakiona kama ni ukosefu wa maadili,nilishamuonya mara kadhaa lkini hataki kunisikia Je naweza kutumia njia gani kukomesha tabia hii?Je hata wanaume wengine mpo kama mimi au nyie mnafurahia kuona picha za wake zenu kwenye mitandao?Sasa sijui huu ni ushamba! Toa ushauri Matusi sitaki.
Acha kupoteza Muda kumchunga Mkeo. Utaumia bure kwa hisi hisi tabia zake.Habari wakuu mimi ni mwanaume niliyekamilika ninakerwa sana na tabia ya wife wangu ya kupost picha zake facebook kitu ambacho binafsi nakiona kama ni ukosefu wa maadili,nilishamuonya mara kadhaa lkini hataki kunisikia Je naweza kutumia njia gani kukomesha tabia hii?Je hata wanaume wengine mpo kama mimi au nyie mnafurahia kuona picha za wake zenu kwenye mitandao?Sasa sijui huu ni ushamba! Toa ushauri Matusi sitaki.
Makofi mtapisho[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mkuu inaelekea unapenda kupiga hutaki utanihapo ndo makofi mtapisho yanapohusika... usimchekee mpe kubwa kweli...!!!!