Mke wangu Tabia ya kuweka picha facebook siitaki.

Mke wangu Tabia ya kuweka picha facebook siitaki.

Sijawahi tangu niijue fb/mitandao.
Mweleze anachokifanya kinakukosesha amani kama mumewe,na kama tayar mna watoto nafkr ni vema akatumia mda mwingi kuitazama familia zaidi ya kupost picha zake fb maana kiuhalisia hakuna faida yoyote bora hata angekuwa anapost huku jukwaan kuomba ushaur kuhusiana na fursa tofaut za kimaendeleo..ww ndio umeoa na mtafuta riziki ya familia hvyo ni lazma uweze kuwa na sauti ya kukataa kile ambacho hakina mabadiliko chanya ktk ndoa yenu
 
Unaposema umeshamuonya. ...umemweleza kwa kina sababu gani hupendi. ....na je umemsikiliza yeye kwanini hazioni sababu zako si za muhimu?

Pengine attention imepungua kutoka Kwako. ..kaamua kuitafuta huko fb.
Yote Nilishamueleza tena sababu kuntu kwani kuna dada yangu aliachana na mumewe sababu hiyo ni pale alipokuwa akipost pivha zake baadae picha hizo zilitumika na mtu mwingine akaziposti akiandika kuwa NINAHITAJI MUME NJOO INBOX TUYAJENGE baada ya ndugu zangu kuona picha hizo walimpelekea mumewe kisha mzozo ulikwenda mpaka kanisani,mahakamani kisha kuachana.
 
Tatizo nimatumizi ya hii mitandao tunaitumia kinyume so lazima kwaro ziwepo
 
Yote Nilishamueleza tena sababu kuntu kwani kuna dada yangu aliachana na mumewe sababu hiyo ni pale alipokuwa akipost pivha zake baadae picha hizo zilitumika na mtu mwingine akaziposti akiandika kuwa NINAHITAJI MUME NJOO INBOX TUYAJENGE baada ya ndugu zangu kuona picha hizo walimpelekea mumewe kisha mzozo ulikwenda mpaka kanisani,mahakamani kisha kuachana.
Kama hakusikilizi pamoja na mifano hai yote hiyo. ...basi hakupendi. ...

Mtu akipenda hatofanya vitu vya kumkwazwa ampendae.
 
Digital age hii mkuu

Kwani amepost picha zisizo na maadili?

Au humwamini wife unaogopa mabazazi watampitia?
 
Mi nishaomba phone number inbox na kanipa.Lakini pole kamata simu weka kwenye ndoo la maji
 
Mkuu katika mahusiano(rafiki,mchumba,mke e.t.c)issue ya kupenda huambatana na gharama kubwa sana,hicho unachokizungumzia hapa ni miongoni mwa gharama(in term of wivu) ambazo unapaswa kuzitoa kwa kumpenda huyo mwanamke!!........ndo maana mimi sijaoa mtu ambae nampenda kwa sababu kila saa nitakuwa rohoo juu juu kwa lolote afanyalo hata kama ni jema kisa wivu!!.......Mimi mke wangu niliemuoa huwa simpendi/sikumpenda na nilimuoa makusudi kwa sababu alikuwa na sifa kubwa ya mimi kutompenda kwa hiyo muda wote huwa nakuwa na amani,akiwa anachat na watu,anaweka mapicha facebook,anachelewa kurudi nyumbani jioni,akiwa kwenye biashara zake,akiwa na marafiki wa kiume,akiwa anachekacheka na wanaume wengine e.t.c yote hayo mimi nakuwa na amani na furahaa full na hicho kimefanya maisha yangu kuwa ya furahaa na amani sana!!
 
Habari wakuu mimi ni mwanaume niliyekamilika ninakerwa sana na tabia ya wife wangu ya kupost picha zake facebook kitu ambacho binafsi nakiona kama ni ukosefu wa maadili,nilishamuonya mara kadhaa lkini hataki kunisikia Je naweza kutumia njia gani kukomesha tabia hii?Je hata wanaume wengine mpo kama mimi au nyie mnafurahia kuona picha za wake zenu kwenye mitandao?Sasa sijui huu ni ushamba! Toa ushauri Matusi sitaki.
Pole sana mkuu
Kweli tuna tofautiana...Mm sion haja ya kumnyima uhuru mke Wang....maana najua kufanya hivyo ni kumjengea mazingira ya kuuvunja uaminifu...ila sio kujiunga na magrp wsp n.k
 
Kama yupo humu si atapata ban kama wewe ulivyopata ban siku ile?
Mimi nilipata ban kwa sababu kichwa changu kinajielewa nampenda nani na nipo tayari kumlinda kwa gharama yoyote ile,mume wangu haminyi Uhuru wangu kwa sababu anajua Mimi ni mtu mzima mwenye maamuzi yangu ambayo naamini hayabomoi familia yangu
 
Mtoa hoja anaamini kuwa anaweza kuchepuka. Unajua kinga ni bora kuliko kuponya na ukiangalia risk ya kuachana na kuanza upya ni afadhali abiria achunge mzigo wake mwenyewe. Sie ni wanaume tunajua mazoea yanavyoleta kugusanisha vikojoleo. Au siyo mkuu
 
Back
Top Bottom