Mkuu, huyo mkeo ni aidha anataka talaka au hayuko sawa upstairs. Ukitaka kulielewa hilo, tafuta ex wako yoyote uanze kuwasiliana nae, umweke karibu sana, chati nae sana, hudhuria sherehe za kwao, wasiliana na ndugu zake na ufanye yotw kama anavyofanya mkeo halafu akihoji umjibu kama anavyojibu yeye kuwa ni ex wako ulie karibu nae sana kama ndugu, na unawasiliana na ndugu zake wote na blah blah zote uone kitakachotokea.
Kama hakupendi, atapotezea na kama amekuwa akifanya yote hayo kwa uchizi mapenzi na wehu, atang'aka na kuanzisha ugomvi.
Huna sababu ya kuumia, usimhoji kuhusu ex wake, tafuta hata mchepuko akupunguzie stress.