Mke wangu simuelewi

Mke wangu simuelewi

Duh pole sana bro huyo mwanamke hakufai braza ukwel ni kwamba kama anamthamin ex kiasi kwamba analeta ugomv nymban nidhahil bado ana date na huyo jamaa tena anampenda toka moyon kuwa makin, kama vip fanya maamuz magum kama magufuli mwsho wa sik atakuletea maradh

Hahahapendwa mbona mnafanya maisha kuwa magumu?????

Hao ni ex tu...kiufipi wanakuwa binadamu kama binadamu wengine hawana uspecial..... haswa kama hawakuachana kwa mabifu

Kusaidiana binadamu ni kawaida.
Mawasiliano ya mara moja moja kama binadamu sio big deal

Unless kama mawasiliano 24/7 hapo awe na mashaka na achunguze ni story gani zinazopigwa...... lakini kama ni mara 2-3 kwa mwaka...... haina shida bana

Bro tahadhari sana na ex hao binafsi niliachana na demu wangu mmoja lakini tuko marafiki mpaka leo nimekutana nae mwaka jana mara yetu ya mwisho tulikutana 2004. Kuniona tu hug na kisses siku ya 3 na ya 4 nimekula udelela wangu mara 2.

huyo mkeo hayuko sirius na ndoa yako anataka kukutawala na kujiamlia mambo anayotaka yeye ukimwachia itakugharimu

Kuna shemeji yangu aliwekwa pending kuolewa miaka miwili tena hadi kitchen party alikuwa ameshafanyiwa jamaa akashtukia huwa anachat na ex wake, mpaka leo hii adabu za kale mbele siyo wazazi wala mchungaji waliweza kutatua hili

Bora pengo kuliko jino mbovu,kiuhalisia hakuna uhusiano unaoweza dumu bila jambo mbaya kutokea kati ya mwanamke na mwanamme isipokuwa ndugu,kama vipi TOROKA UJE.

Huyo mwanamke yuko wrong 100% na ww mwanaume unamatatizo makubwa sana hujitambui labda kama ni (marioo) wanaume wanaolishwa na wanawake maana ni ngumu umzuiee mke wako jambo akukatalie tena kuhusu ex wake hiyo kitu haipo yaani nilivyokuchukia ww mwanaume kwa kutudhalilisha

Huyo mwanamke hajitambui. Mwambie achague njia moja kwani njia mbili zilimshinda fisi

Unaudhalilisha uanaume. Hakuna kitu kama hicho katika ndoa, kama kweli unaipenda ndoa yako zuia kabisa ukaribu wa namna yeyote na ex. Huyo mwanamke mrudishe kwao hajafunzwa huyo, mwache.

Heri ni wao wanaooana wakiwa bikra, maana habari za ex zinakuwa hazipo. Na wakidumu kwa uaminifu wanakuwa na uhuru wa kweli.

Huyo mkeo hajui maana ya ndoa, pili hajui namna ya kujenga ndoa yake kwa kuepuka vihatarishi vya kuvunja ndoa.

Hicho pia ni kiburi na kinatokana na ukweli kwamba amesoma na ana mshahara wake mwenyewe. Kwake huyo mkeo suala la kumtii mume ni msamiati.

Lakini kulikuwa na hizi dalili tangu mwanzo, haukufanya vema kuzidharau.

Bravo........wanawake waliomaliza Chuo ni shiiiiiiida.

Kwa kuwa kesha amua sidhani kama utamzuia. Mwache afanye lakini mwambie kwa uwazi kuwa anafanya bila ridhaa yako. Wewe umekataa.

Cha msingi jitahidi kufuatilia kwa kadri utakavyoweza kujua kama kuna zaidi ya mawasiliano.

Hapa linakuja suala la who chooses the other.
Wanawako wanaojiona wamesoma wanamatatizo.

Kaa nae mwongee vuzur hakuna uhusiano mzur kat ya mkeo na ex_wake lazima watakumbushia inaonyesha bd anampenda huyo

Ndugu wana jF mm ni kijana mwenye mke na nnamtoto kwa sasa, nilianza mahusiano na mke wangu akiwa ndo amemaliza chuo, maisha yaliendelea ila ugomvi wa hapa na pale kwenye Mahusiano yetu umekuwa wakawaida hadi tumeoana, tatizo kubwa lililokuwa linatugombanisha ni Mahusiano yake ya nyuma na watu wake(ex-boyfriends)kuwa alikuwa ana penda sana kuwasiliana nao, nilipo gundua nilimkataza nae akadai hamna chochote kinacho endelea rofauti na urafiki.tumeishi hivyo kwa muda hadi sasa ni mwaka mke wangu amekuwa mwajiriwa selikarini-leo hii nimeingia kwenye ugomvi baada ya wife kunifuata na kuniambia ex-wake flani anashida anaomba amkope wife hela. Mm alipo niambia nikawaka sababu tabia ya mawasiliano na ma-ex nilisha mkataza, ila Leo kaniambia hawezi acha kumsaidia kwani kwake huyo mtu ameshakuwa ni kama ndugu kwani hata ndugu zake wana mfahamu na na anawasiliana nao wote, hivyo mm siwezi kumzuia kumusaidia na hato acha kuwasiliana nae. Je mm nifanyeje? Wife ana haki ya kufanya hivyo au hili ni tatizo?
Usi entertain ujinga huu anao fanya mkeo; achague moja, kuishi na wewe with all respect au aende aishi na ex boyfriends wake. Ndugu yangu inakuhitaji ufanye maamuzi mazito. Usikubali upuzu huu uendelee coz ulishamweleza.

"mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"... mpe huu ujumbe halafu kaa kimya akitaka maelezo mwambie atafakari huo mstari ...

usiwe mkali punguza hasira na tanguliza akili ktk kushugulikia hili, kwanza omba namba ya huyo x, mtafute ongea nae mwambie namna anavyokukosea heshima kwa kufanya haya, mwambie madhara ambayo waweza kumpatia pindi ukishindwa kudhibiti hasira zako, mwambie nimeonyesha ustaarabu sana kukufata kwa amani ila akiendelea na mawasiliano na mkeo asijejuta kwa utakachomfanya, ukimpa kitisho kama hicho nae lazima aogope. kuhusu msaada mwambie atafuta ndugu zake, jamaa na rafiki zake ila sio kumuomba mpenzi wa zamani ambae ni mke wa mtu tayari. na mimi najua wazi hiyo hela hatomrudishia na anamuomba kwa kuwa anajua udhaifu wa mkeo hivyo kumnyima si rahisi.acha kabisa kuhangaika kugombana na mkeo huwezi kutafuta suruhisho akili ya mwanamke si sawa na yako matokeo yake utampa hasira zaidi na anaweza kujikuta anampa sex kutokana na hasira zako. kumbuka x wake anatumia udhaifu wa kimapenzi kwa mkeo kufanikisha huo mkopo afu we umekalia kumfokea na kuzuia mawasiliano hiyo haitosaidia na mbaya zaidi akiona kwako wamzingua kwa hasira zako basi atatafuta faraja zaidi kwa x which means atagawa uroda. mfate huyo x umpe vitisho nae kwa kuwa anajua hatari ya uchungu wa mke lazima akate mawasiliano na mkeo

formula hapo ni ndogo tu mkuu,ukioa mwanamke ambaye hana bikra ujue umeona ex-wife wa mtu,labda kama ulimuoa mkeo akiwa bikra ndio utamlaumu mkuu,ndio maana siku hizi unaona watu wanasema TBT.

Ndugu wana JF,

Mimi ni kijana mwenye mke na nnamtoto kwa sasa, nilianza mahusiano na mke wangu akiwa ndo amemaliza chuo, maisha yaliendelea ila ugomvi wa hapa na pale kwenye Mahusiano yetu umekuwa wakawaida hadi tumeoana.

Tatizo kubwa lililokuwa linatugombanisha ni mahusiano yake ya nyuma na watu wake(ex-boyfriends)kuwa alikuwa ana penda sana kuwasiliana nao.

Nilipo gundua nilimkataza nae akadai hamna chochote kinacho endelea rofauti na urafiki.

Tumeishi hivyo kwa muda hadi sasa ni mwaka mke wangu amekuwa mwajiriwa selikarini-leo hii nimeingia kwenye ugomvi baada ya wife kunifuata na kuniambia ex-wake flani anashida anaomba amkope wife hela.

Mimi alipo niambia nikaweka sababu tabia ya mawasiliano na ma-ex nilisha mkataza, ila Leo kaniambia hawezi acha kumsaidia kwani kwake huyo mtu ameshakuwa ni kama ndugu kwani hata ndugu zake wana mfahamu na na anawasiliana nao wote, hivyo mm siwezi kumzuia kumusaidia na hato acha kuwasiliana nae.

Je mimi nifanyeje? Wife ana haki ya kufanya hivyo au hili ni tatizo?

Mimi alipo niambia nikaweka sababu tabia ya mawasiliano na ma-ex nilisha mkataza, ila Leo kaniambia hawezi acha kumsaidia kwani kwake huyo mtu ameshakuwa ni kama ndugu kwani hata ndugu zake wana mfahamu na na anawasiliana nao wote, hivyo mm siwezi kumzuia kumusaidia na hato acha kuwasiliana nae.

Je mimi nifanyeje? Wife ana haki ya kufanya hivyo au hili ni tatizo?[/QUOTE]

Wanaume wengi waliooa wamepoteza uanaume wao na wamebakia jina tu . Hivi mnawezaje kuishi ndani ya nyumba wanaume wawili (Mume na mke aliyegeuka mume)?

Ikiwa leo wewe ni kijana na una kazi lakini huwezi kumwambia mkeo jambo akatii je ukiwa huna kazi au mzee ndio atakusikiliza? Ni hatari sana kuishi na mke usiyeweza kumdhibiti.

Similar Discussions

Back
Top Bottom