Mke wangu, Nimekuchoka!

Mimi nilikwambia toka mwanzo,wewe hauna akili.... angalia ulichokiandika.

Sijui kwanini umetoroka FB
Ni wapumbavu na wenye elimu ya kuunga Unga tu hushambulia watu badala ya kujibu hoja
 
acha kutromba ila umetupiga mwenye uwezo wa 10 plus hawezi kulalama
 
Sasa je unadhani mtoto akisoma kidumu na mfagio atauwa sawa na aliyesoma Braebun.
Lazima mtoto wa kidumu na mfagio awe na insecurities
Blaeburn ya Arusha mkuu? Nilikua naenda kuchezwa soka pale napajua wale madogo nyanya sana wanasuja dreads Yani rasi na sijawahi waona na uniform za kushindia unawakuta na home clothes masaa yote
 
Ni sawa bwana wee!!! tena ikibidi mama akija kufikisha miaka 38 au 40 anaongeza ka mwisho.

Familia imeongezeka si ulee hao watoto.
wapeleke shule ambazo unazimudu
Kuhusu mifumo wewe ndio unajua unafanya nini na ufanye nini kutengeneza mfumo wako.
ukitaka ushauri zaidi jielezee nikupe nondo
 
We nipe nondo
 
Umesoma Mchambawima nn maana mtu aliyesoma walau hata shule nzuri hawezi kuwaza hv
Sasa mie kusoma au kutokusoma inaingiaje hapo? Ili kukurahisishia kazi, sijasoma kabisa.

Turudi kwenye hoja, umeleta hoja kuhusu connection, nakuuliza hiyo connection unayoitengeneza ya watoto wako wanaipata kyanzia hatua gani ya elimu?

Hiyo itakusaidia kujua ni hatua ipi inafaa zaidi kwa lengo la kutengeneza connection. Ujue una uwezo wa kuwapeleka vyuo private ili wapate hizo connection.

Sasa kama unataka kuacha mke kisa umeshindwa kufikia muafaka suala la idadi ya watoto na umesoma na una connection, hata si ihitaji.
 
Acha kuwa na mawazo ya kizamani unadhani mtoto anayesoma IST, ISI,ISM au fedha school ambaye study tour anaenda Europe atafanana na yule ambaye study tour anaenda mikumi, isimila au bagamoyo
Watu tumehudhuria shule hata study tour hawazijui, ukivaa uniform ni anasa, hakuna kuvaa viatu ukiwa na kandambili ukirudi nyumbani unazisafisha unazihifadhi kusubiria mtoko mwingine na tumepata connection.

Haya mambo, hayana kanuni moja inayofaa kwa watu wote. Kinachofanya kazi kwako kitimize bila kubeza aliye na mtizamo tofauti.
 
Hongera tumejua kuwa unalipa ada 10M kwa kila mwanao hongera.

Hukupaswa kuzunguka mbali hivyo ungeenda kwenye lengo moja kwa moja.

Hongera sana Boss.
 
Utoto raha sana
 
Tundu Lissu mnamuonea Huruma sana
 
Hawa kidato cha nne wameanza kusumbua, sijui tu wakimalza na pepa.

Yaan mambo ya family uweke mtandaoni?

Kwani mkeo anatumia JF?

kuna watu hawajasoma ila wanapangilia kizaz well.
sembuse nawew, uliesoma?

mnajaza sever tu jf
 
Hii ni code au ni ujumbe wa moja kwa moja bila code. Kama ni ujumbe bila code kwa nini usingefikishia mlengwa moja kwa moja?
 
Zaeni bwana,, mapori yote haya atayajaza nani?
 
Mkuu,

Huyo mtoto wa nne mke wako alijizalisha mwenyewe?
 
Kichwa kimepotoka. Hujatoa direction ninkwa namna gani msizidishe watoto wa 5, halafu una mlaumu mtu ambaye alitakiwa kupata mwongozo na wewe hukumpatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…