Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

Hilo jipu kaka, fanya kulitumbua mapema kabra halijakua maana litakuja kukusumbua. Huyo mwanamke achana nae mapema kabra hujazaa nae mtoto.
 
Mwanamke ni kiumbe kilichoumbwa kutii mamlaka na kufuata maelekezo....ukiona hatii mamlaka yako basi kuna mahali anatii mamlaka na kufuata maelekezo
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Tafuta demu wako wa nje jipigie ukijishusha sana utadharaulika ukionaje kutafuta amani ya moyo wako kwa kufanya mambo mengine siku akistuka atapunguza kiburi cha msingi linda maslahi ya wanao.
 
Tafuta dogodogo nje ili uwe free na kumwonyesha kuwa bila yeye unaweza kuishi...

Usikubali kuwa chini ya mwanamke,kamwe
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
kama mnaelimu sawa na hapo umeajirima na yeye kaajiriwa, SAHAU mwanamke kua mtiifu kwako.
 
Pengine humfikishi kileleni.
 
mvumilie maana na yeye kuna kitu anakuvumilia
 
Miaka 8 ya ndoa na watoto watatu. Mmechokana tu! Tafuteni vitu vya ku spice up ndoa yenu! Hiyo game ya kujishusha kwy mahusiano mara nyingi anajishusha mara nyingi yule mwenye kupenda sana kati yenu. Sasa wewe uliyependa sana ndio hivyo umeshachoka na wewe ushamzoesha kukupandia kichwani. Yazungumzeni, miaka nane maana yake watoto wapo umri sensitive kuvunja ndoa kwa ajili ya game mliyojizoesha wenyewe.
Hakunaga alie pafekti.
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la muungano.

Niende moja kwa moja kwenye mada kuu, nimekua kwenye ndoa na huyu mke wangu yapata miaka nane sasa, tulioana wote tukiwa vijana na ni binti ambae tulisoma nae kuanzia primary tukaja kukutana chuo, kwahiyo namfahamu vizuri tu. Nikiri tu kwenye mambo mengine ya kifamilia yupo vizuri sana, ila tatizo linaanza ni kujishusha na kuomba msamaha pale tunapotibuana.

Hii hali inanikwaza sana sababu bila kujishusha mimi tunaeza kukaa hadi mwezi hatuongei eti ameninunia. Mara nyingi huwa inanilazimu mimi kujishusha baada ya kubanwa na upwiru sana. Kwa ninavofahamu kupishana kauli kwenye ndoa kupo na ni jukumu la wanandoa wote kuipambania ndoa kwa kujishusha na kuyaongea, ila mwanamke ndio anatakiwa awe mstari wa mbele kujishusha ili mambo yaende, ila kwa huyu mke wangu imekua tofauti.

Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.

Naombeni ushauri wenu wakuu.
Aisee mwanamke anikosee then niombe msamaha?
Siombi msamaha na akinyima poa tu.
 
Nimeisoma hii tena nimegundua kitu.
Mwanamke anakupenda kidogo ila wewe unampenda sana, sasa anakuona boya na ashaujua udhaifu wako anakupiga kwenye mshono.
Tengeneza mazingira ya kutohitaji mbususu yake kama mwezi mzima mpaka yeye ajiulize shida nini.
Msalimie, muage unaenda kazini, Rudi endelea na shughuli zako, lala amka, set ratiba hivyo, fanya kama miezi miwili atajirudisha.
Hakuna mwanamke mgumu kwa alpha males.
 
Mwanamke wa aina hii ni shida sana si kwenye ndoa tu hata kwenye uchepukaji!
Inakera SANA. Pole ndugu yangu
 
Kwa sasa tuna watoto watatu ila hii hali inanifanya nihisi kama nalazimisha mapenzi hivi hadi nimeanza kupata mawazo ya kuivunja hii ndoa. Nakwazika sana.
Usivunje ndoa kamwe, ukizingatia mna watoto tayari.
Mpango wa kando ni dawa tosha, halafu utanishukuru baadaye 😁
 
Rule number one mwanaume hanuni wala haziri, rule number two repeat rule number one, rule number three repeat rule number 2.

Nimeshangaa kusoma kuwa mnanuniana mwezi mzima. Wote mna matatizo.

Iko hivi? Mkisha tibuana usiweke jambo lolote moyoni. We endelea na maisha kama hakuna lililotokea. Mpe mahitaji yake yote . Naamini tatizo lako si la kuvunja ndoa.
Mmekutana wabishi wawili ndo maana. Na inawezekana wakati mwingine wewe ndo mbishi zaidi lakini unataka uombwe msamaha.

Nakujulisha kuwa hakuna mwanamke asiye nuna.
 
A see kwa kweli kwenye uchumba ndio sehemu sahihi ukibugi tu hapo utajita maisha yako yote.
hata kwenye uchumba ukiwa deep sana hutaona kasoro yoyote!

Ili umjue vzuri mwanamke, kuna njia moja ya uhakika:
1. mchunguze kabla hujamchumbia/kumtongoza, ukishamtongoza na akawa mchumba tayari hapo ushapofuka na hutoona kasoro yoyote mpaka pale utakapomuoa!

Wazee wetu walifanya upelelezi kwanza kupitia watu wao wa karibu
 
Kashachelewa ilitakiwa amkomalie mwanzoni kabisa
Hajachelewa,sasa hivi ni wakati muafaka sana,ikiwezekana yeye mume ndio aanzishe ugomvi alafu akaze hata MWAKA tuone kama mke hajakaa sawa.

Yeye si huea anaksza hata akikosea ?basi mume na wewe anzisha ugomvi alafu mkazie,kama inshu ni uchi kapige hata punyrto ili mradi aone kwamba yeye akizingua unaweza ishu fresh bila yeye.

KAmwe usijishushe kea meanamke kwa kosa ambalo sio lako,kamwe kamwe kamwe,

Na kama kosa ni lako hakikisha unajitetea vya kutosha na point za maana mpaka adhinde,asiposhinda unasimamia msimamo,mwanamke unaanzaje kunikosoa mwanaume alafu nikose point za kujitetea ?
 
hata kwenye uchumba ukiwa deep sana hutaona kasoro yoyote!

Ili umjue vzuri mwanamke, kuna njia moja ya uhakika:
1. mchunguze kabla hujamchumbia/kumtongoza, ukishamtongoza na akawa mchumba tayari hapo ushapofuka na hutoona kasoro yoyote mpaka pale utakapomuoa!

Wazee wetu walifanya upelelezi kwanza kupitia watu wao wa karibu
Yes hii imekaa poa

After uchumba kila meanamke hugeuka muigizaji kumshawishi chumba wake.

Mchunguze wakati hajui ksma anahunguzwa ili uone rangi yake halisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom