chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
- Thread starter
- #21
Umenikumbusha kondakta mmoja alikuwa amevaa chupi ya kike kila akitoa kichwa nche kuita watu shati linapanda suruali yenyewe amepiga mlege chupi ya kike ikawa inaonekana basi watu mle ndani wakawa wanasema huyu itakuwa ndiyo anaanza ushoga, mwingine akasema huyu atakuwa pengine amefumaniwa zile harakaharaka ndiyo akavaa kyupi cha kike, ila mama mmoja akasema haya ni mapenzi unaweza ukavaa chupi ya mkeo naye akavaa ya kwako.. Hapo ndipo ulipozuka mjadala mzito wengine wakisema hayo labda mapenzi kwenye drama za kihindi naskitika nilishuka mjadala ukiwa unaendelea
huyo konda atakuwa na moyo kweli kweli