Mke wangu kuvaa nguo zangu za ndani

Mke wangu kuvaa nguo zangu za ndani

Miaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu, nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhisha nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia.
mkeo ana mchezo mbaya, ana bip kwanza na ukitaka kuhakikisha na wewe anza kuvaa chpi zake, ataonyesha tu kucha zake. kama yuko kawaida ataacha mara moja.

Venginevyo wasiliana nami na mlete Zanzibar afanyiwe dawa ya kudumu

Pole, ni hali ya kawaida kabisaaaaa. Baadhi ya wanawake huwa wanafanya hivyo wakiwa wajawazito na wengine hutembea kabisaa na boxer ya mumewe kwenye pochi ambayo imeshavaliwa akiinusa anajisikia raha sanaaaaaaaaaaaaaa wewe hata ukirudi kesho asubuh mradi boxer yako iko pembeni ama karibu yake buridani. Nadhani anashindwa kukwambia kila mara kuwa anakupenda so solution ni kuvaa boxer yako ana feel upendo wako sanaaaaa na uwepo wako karibu yake kila mara.

Acha uwoga
 
tuma nauli mkuu
 
thanx mkuu,
 
wanaume wa siku hizi mnapenda kulialia sana,kutu kidogo ushapiga simu nyumbani kwa mamako, hiyo ishu ndogo sana unajua mkishaoana kuna vitu flan amaizing hivi lazima huwa vinatokea ndo utamu wa ndoa huo mkuu,tuliza munkali pale ni kama anataka kujihakikishia tu wewe na yeye ni kitu kimoja na mnaweza kushea hata nguo za ndani.:eek2:

Miaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu, nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhisha nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia.
 
Miaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu, nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhisha nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia.

Mim naona poa tu...
 
hauko serious na inaonekana unaifurahia hiyo tabia. Endelea lakini jitaarishe tu akukwita mpanzi badala ya bwana, ujue sasa mambo yameshanoga!
 
Iko poa na inaweza kua ishara flan ya uaminifu sababu hakuna mwanamke angependa kuonekana kituko kwa mchepuko, imagine ww una mapenzi ya dhat kwa mkeo kiasi ukafikiria kuvaa kufuli lake (na assume tu najua its impossible) unaweza kweli kuchepuka ukiwa ktka hali hiyo?

Miaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu, nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhisha nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia.
 
Mnaooa bila kujua mapenzi ni sheeeedah. Hujakomaa kimapenzi umedandia tu. Hiyo ni sehemu ya mapenzi. Umemuingia vilivyo. Unamfikisha pahala pake. Inampunguzia mihemko wakati haupo. Uone sasa wewe badala uone ni kaeaida si ajabu umeshamkoromea mai waifu wako. Mapenzi jmn mtihani wa phd ci lelemama.
Kweli kabisa mkuu. Mambo haya ni kawaida hasa kwa wanandoa wapendanao.
 
Miaka kadhaaa kwenye ndoa but huwa sielewi kwanini waifu anapenda kuvaa boxer zangu, nimehsajaribu kuhoji but hanipi majibu ya kuridhisha nashangaa kama hii inatokea kwangu tu au kwa wengine pia.

Ukiona hilo linatendeka,, bac uje hujamnunulia chup kwa ajili yake na ndo anachukua boxer zako na kuvaa.Haiwezekani atembee pekupeku bora ajistiri kwa izo boxers zako maana hakuna namna nyingine.
 
Kawaida tuu kaka ujue kwa mwanamke anayekupenda na anapokuwa na wewe anapata hisia za kimapenzi na wewe hujisikia sana hata akivaa suruali yako au chochote cha kwako hilo limeshanitokea sana mimi baada ya kupendwa nilipata shida kidogo lakini nilipomuuliza alinionea aibu sana kuniambia lakini baadae aliniambia kuwa alikuwa anajisikia tofauti sana akivaa nguo yangu na mpk naachana nae alibeba baadhi ya nguo na anaponikumbuka huniambia kabisa hivo
labda mi ni kuulize assume umemuona mwanamke bahati mbaya kainama halafu nguo yake ya ndani ikaonekana kwa juu ukiwa mwanaume uliyekamilika unajisikiaje muda huo basi hali ya akili kubadili hisia ndio na yeye huwa hivo hivo sema wengi watakushangaa kwa hilo kwasababu hawako karibu na wapenzi wao ila mtu anapokuwa close mambo kama haya ni kawaida sana brooh mi nina experience ya wasichana watatu ila nakuwa nao close sana ndipo najua kuna vitu kama hivi kama hafanyi hadharani kwa kukuonea aibu basi hufanya kwa muda wake yeye mwenyewe na tunatofautiana hisia wasio jisikia hivo pia wana hisia zisizotaka hali hiyo na hawa hujisikia vibaya na zaidi ya yote hawawezi kabisa hata kuwa na hisia kama hizi
 
Vaa n ww bikini zake na hakikisha majirani wanalijua ilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom