Mkuu katika maisha hamna silaha kubwa ya kujivunia kama ukweli! kama since day 1 ungemuambia ukweli huyo mwenza wako kwamba wewe ni Muslim na kama amekupenda kweli haya mambo yote unayo taka ushauri humu JF yasingekuwepo
NIMESIKIA SIKIA KUWA KUNA WATU WAMETUMWA KUZALISHA WANAWAKE WA DINI NYIGINE ILI KUONGEZA IDADI YAO. JE WEWE N MMOJAWAPO? KAMA KAGUNDUA IMEKULA KWAKO
Mwache aende. Usimtafute.
Dawa ya moto ni moto na si maji.
Ukitumia maji kuzima moto siku moja utajuta
Ungemwambia ukweli mapema
Swala la kila mtu kubaki na anachoamini huenda lilikuwa zuri zaidi.
Acha uboya, unabadili vipi dini kisa mapenzi je akifa au mkiachana?
Kwahiyo mtoto wenu alipewa ubini huo huo wa kutunga?
Bila shaka unavuna ulichopanda
[emoji23][emoji23]Tatizo unatishia tishia kujamba!!!!! Sitaki nataka....pole
Itakuwa mmoja wapoNIMESIKIA SIKIA KUWA KUNA WATU WAMETUMWA KUZALISHA WANAWAKE WA DINI NYIGINE ILI KUONGEZA IDADI YAO. JE WEWE N MMOJAWAPO? KAMA KAGUNDUA IMEKULA KWAKO
Wewe koma,tumia hiko kichwa vizuri kufikiri acha kufuata upepo na vijana mtakaopita hapa muisome post iliyo ktk link hapo chini muelewe kilichoandikwa humo dini haibadilishwi kwa sababu za kitoto toto eti mapenzi...ndo kitu gani hicho?
![]()
Mpenzi wangu kagoma kuhamia imani yangu ili tufunge ndoa
Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.www.jamiiforums.com
Habari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu
29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26
Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm
Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo
Lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kumpata anikunalie nilimdanya jina na
Dini yangu ili akubali
na sikujua kama nitaishi naye miaka mingi
Nilimwambia naitwa Rich
ni mkiristo ivo ikawa rahisi kuwa naye pia
Lakini kadiri muda unavyokwenda alikuja jua ukweli na nilimwambia anisamehe maisha yakaendelea
Yeye alipendelea sana kwenda kanisani na hakutaka kuwa mbali na Maombi
Ilifika kipindi anataka nimuoe lakini alitaka nimuoe kupitia Dini yake dhehebu Anglican
Nilimzungusha sana ila nilikuwa nampenda sana hata yeye alinipenda sana
Sijawahi hata ona mwanaume akipita pita kwake
Miaka niliyoishi naye imetosha kumuamini lakini kilichokuja kuleta tofauti ni Dini tu
Kuna kipindi nilienda nae kanisani kwao kwa mchungaji wake nikaomba anipe muda wa kufikiria ili swala la kubariki ndoa nikapewa muda wa kufikiria
Lakini haikutosha nikaja kuongea na Mke nikamwambia naona ubadilishe wewe au tukafunge ndoa ya Kiserikali hakunijibu ila alionekana kukasirika sana
Mwisho wa siku nilikuwa ofisini yeye anafanya kazi sehemu nyingine kwa hiyo tunatofautiana kurudi
Nilikuta kachukua vitu vyake tu kaondoka nikamtafuta akaniambia unavyoona ndo ivo nimechoka ruhusu maisha mengine yaendelee
Kwa kweli nilichoka sana niliumia mno ukizingatia alinivumilia sana kwenye shida nyingi nilizopita nae ila now sipo nae
Nilimtumia mesej na nikaongea nae pia kuwa nipo tayari kufanya ivo na nikaenda kwa mchungaji nikamwambia maoni yangu
Lakini yeye anasema hata ukija church siwezi rudi kwako lakini kwa moyo wangu najua ana hasira sana na mimi
Na kwao niliwaambia kuhusu kuondoka kwake pia
wakasema wataongea naye lakini hawakurudisha majibu sahihi
Sasa ndugu zanguni msinicheke kwa Mapenzi yangu ila naomba mnishauri je anaweza rudi nikamuoa nikienda church kwao? au ndo kama alivosema hata nikienda church kwao harudiani na mimi nitafute msichana mwingine wa kumuoa?
Naombeni ushauri ndugu marafiki [emoji120]
Umekosea kuzaa nje ya ndoa, na unataka ukosee zaidi kubadilisha imani.
Hakuna ndoa ya watu wenye imani tofauti/mmoja anaebadili kwa ajili ya ndoa. Kama kuna ulazima mwanamke anapaswa kukufuata mwamba.
Kwa vile ameondoka wekeni mkakati wa kulea mtoto wenu, kisha kila mmoja atafute mtu wa dini yake kwa ajili ya maisha ya ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app