Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,398
ISLAMDini ya haki ni ipi?
ISLAMDini ya haki ni ipi?
Kula uongo wako .....Habari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu
29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26
Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm
Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo
Lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kumpata anikunalie nilimdanya jina na
Dini yangu ili akubali
na sikujua kama nitaishi naye miaka mingi
Nilimwambia naitwa Rich
ni mkiristo ivo ikawa rahisi kuwa naye pia
Lakini kadiri muda unavyokwenda alikuja jua ukweli na nilimwambia anisamehe maisha yakaendelea
Yeye alipendelea sana kwenda kanisani na hakutaka kuwa mbali na Maombi
Ilifika kipindi anataka nimuoe lakini alitaka nimuoe kupitia Dini yake dhehebu Anglican
Nilimzungusha sana ila nilikuwa nampenda sana hata yeye alinipenda sana
Sijawahi hata ona mwanaume akipita pita kwake
Miaka niliyoishi naye imetosha kumuamini lakini kilichokuja kuleta tofauti ni Dini tu
Kuna kipindi nilienda nae kanisani kwao kwa mchungaji wake nikaomba anipe muda wa kufikiria ili swala la kubariki ndoa nikapewa muda wa kufikiria
Lakini haikutosha nikaja kuongea na Mke nikamwambia naona ubadilishe wewe au tukafunge ndoa ya Kiserikali hakunijibu ila alionekana kukasirika sana
Mwisho wa siku nilikuwa ofisini yeye anafanya kazi sehemu nyingine kwa hiyo tunatofautiana kurudi
Nilikuta kachukua vitu vyake tu kaondoka nikamtafuta akaniambia unavyoona ndo ivo nimechoka ruhusu maisha mengine yaendelee
Kwa kweli nilichoka sana niliumia mno ukizingatia alinivumilia sana kwenye shida nyingi nilizopita nae ila now sipo nae
Nilimtumia mesej na nikaongea nae pia kuwa nipo tayari kufanya ivo na nikaenda kwa mchungaji nikamwambia maoni yangu
Lakini yeye anasema hata ukija church siwezi rudi kwako lakini kwa moyo wangu najua ana hasira sana na mimi
Na kwao niliwaambia kuhusu kuondoka kwake pia
wakasema wataongea naye lakini hawakurudisha majibu sahihi
Sasa ndugu zanguni msinicheke kwa Mapenzi yangu ila naomba mnishauri je anaweza rudi nikamuoa nikienda church kwao? au ndo kama alivosema hata nikienda church kwao harudiani na mimi nitafute msichana mwingine wa kumuoa?
Naombeni ushauri ndugu marafiki [emoji120]
Hahaaaa, Aya bwana!ISLAM
Kuna nyingine mkuu zaidi ya hiiHahaaaa, Aya bwana!
mapenzi yasikufanye ubadili iman .wanawake wenye sifa nzur wako wengi tu tuwe na subra
Wewe FALA ,badili dini oa halafu uone ,ipo siku atakwambia ukitaka kumla na yeye akuchomeke dole kwanza.endelea tu kumkubalia masharti yake.
Kula uongo wako .....
mpka leo kuna watu wanateseka na mahusiano kisa dini?? imani hizi zakipuuz tulizoletewa??? asee kuna watu kwel mnateseka, mm mtu wangu nlmchana makavu kuwa sina dini japo wazaz wangu wana dini, so dini yake huyo mwanamke haiwez kuwa kikwazo kwangu maana nmempenda mm wala sio hiyo iman ambayo haitamsaidia kitu, kabla ya mengineyo ultakiwa kumpa somo la kujitambua ndpo mengine yafuate, dini ni tatzo sana ktk mahusiano haswa watu wasipo jitambua....poleee
Daah nilikuwa na mpango wa kukwambia wazo fulani ila sasa mimi Mgalatia [emoji174]
Uwongo umekuponza
Naona wewe na mtoa mada ni pipa na mfuniko[emoji23]
Mke ni yule mliyefunga naye ndoa ila kama mlichukuana basi jua ni HAWARA mwenzako.
Nakuweka sawa tu mkuu ili siku nyingine utumie neno sahihi mahali sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usibadili dini kwa sababu ya Mapenzi Mungu akuepushe na Chetani anayetaka ubadili dini ya haki
Mkuu katika maisha hamna silaha kubwa ya kujivunia kama ukweli! kama since day 1 ungemuambia ukweli huyo mwenza wako kwamba wewe ni Muslim na kama amekupenda kweli haya mambo yote unayo taka ushauri humu JF yasingekuwepoHabari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu
29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26
Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm
Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo
Lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kumpata anikunalie nilimdanya jina na
Dini yangu ili akubali
na sikujua kama nitaishi naye miaka mingi
Nilimwambia naitwa Rich
ni mkiristo ivo ikawa rahisi kuwa naye pia
Lakini kadiri muda unavyokwenda alikuja jua ukweli na nilimwambia anisamehe maisha yakaendelea
Yeye alipendelea sana kwenda kanisani na hakutaka kuwa mbali na Maombi
Ilifika kipindi anataka nimuoe lakini alitaka nimuoe kupitia Dini yake dhehebu Anglican
Nilimzungusha sana ila nilikuwa nampenda sana hata yeye alinipenda sana
Sijawahi hata ona mwanaume akipita pita kwake
Miaka niliyoishi naye imetosha kumuamini lakini kilichokuja kuleta tofauti ni Dini tu
Kuna kipindi nilienda nae kanisani kwao kwa mchungaji wake nikaomba anipe muda wa kufikiria ili swala la kubariki ndoa nikapewa muda wa kufikiria
Lakini haikutosha nikaja kuongea na Mke nikamwambia naona ubadilishe wewe au tukafunge ndoa ya Kiserikali hakunijibu ila alionekana kukasirika sana
Mwisho wa siku nilikuwa ofisini yeye anafanya kazi sehemu nyingine kwa hiyo tunatofautiana kurudi
Nilikuta kachukua vitu vyake tu kaondoka nikamtafuta akaniambia unavyoona ndo ivo nimechoka ruhusu maisha mengine yaendelee
Kwa kweli nilichoka sana niliumia mno ukizingatia alinivumilia sana kwenye shida nyingi nilizopita nae ila now sipo nae
Nilimtumia mesej na nikaongea nae pia kuwa nipo tayari kufanya ivo na nikaenda kwa mchungaji nikamwambia maoni yangu
Lakini yeye anasema hata ukija church siwezi rudi kwako lakini kwa moyo wangu najua ana hasira sana na mimi
Na kwao niliwaambia kuhusu kuondoka kwake pia
wakasema wataongea naye lakini hawakurudisha majibu sahihi
Sasa ndugu zanguni msinicheke kwa Mapenzi yangu ila naomba mnishauri je anaweza rudi nikamuoa nikienda church kwao? au ndo kama alivosema hata nikienda church kwao harudiani na mimi nitafute msichana mwingine wa kumuoa?
Naombeni ushauri ndugu marafiki [emoji120]
Hayo ndiyo Malipo ya Uongo.
Ungesema Ukweli sasa ungekuwa huru. Maumivu ya kukataliwa ni nafuu sana kulinganisha na maumivu ya kukimbiwa na mwanamke mwenye mwanao.
Endelea kuchapika. Na HARUDI ng'oo.