Mke wangu kanitoroka kisa kubadili Dini

Mke wangu kanitoroka kisa kubadili Dini

Mwanamke anakuzidije msimamo wewe? Mi ninachoona unasumbuliwa na hisia wewe...nakushauri usibadili dini kwani huyo mwanamke akifa utajutia na hisia unazoteseka nazo ni kama msiba tu, mwanzo utaangua kilio ila baada ya meizi utaanza kusahau sahau baada ya mwaka/miaka utakuwafresh utatafta mwingine wa dini yako naimani utampata maana ulimwengu huu wanawake wapo wengi, ACHANA NAE PAMBANA TU NA HISIA ZAKO!!
 
Sio kama mwanamke anamzidi, bali yeye alimdanganya ili ampate kuwa ni dini moja hivyo mwenye shida ni yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchuma janga hula na wa kwao, ulimdanganya kwa kinywa chako Sasa uyale, Kuna wadada wana misimamo kongole kwake,
 
Kusilimu ni kufanya nini?
Screenshot_20210808-105921_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom