Mke wangu kanitoroka kisa kubadili Dini

Mke wangu kanitoroka kisa kubadili Dini

NIMESIKIA SIKIA KUWA KUNA WATU WAMETUMWA KUZALISHA WANAWAKE WA DINI NYIGINE ILI KUONGEZA IDADI YAO. JE WEWE N MMOJAWAPO? KAMA KAGUNDUA IMEKULA KWAKO
Hawataweza,washindwe na walegee km mlenda kwa jina la Yesu Kristo.
 
Habari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu
29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26
Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm

Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo

Lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kumpata anikunalie nilimdanya jina na
Dini yangu ili akubali

na sikujua kama nitaishi naye miaka mingi
Nilimwambia naitwa Rich
ni mkiristo ivo ikawa rahisi kuwa naye pia

Lakini kadiri muda unavyokwenda alikuja jua ukweli na nilimwambia anisamehe maisha yakaendelea

Nilienda kwao nikatoa Mahari nusu ila walijua Dini
yangu wakati wa Mahari 2016 na walinipokea

Yeye alipendelea sana kwenda kanisani na hakutaka kuwa mbali na Maombi

Ilifika kipindi anataka nimuoe lakini alitaka nimuoe kupitia Dini yake dhehebu Anglican

Nilimzungusha sana ila nilikuwa nampenda sana hata yeye alinipenda sana
Sijawahi hata ona mwanaume akipita pita kwake

Miaka niliyoishi naye imetosha kumuamini lakini kilichokuja kuleta tofauti ni Dini tu

Kuna kipindi nilienda nae kanisani kwao kwa mchungaji wake nikaomba anipe muda wa kufikiria ili swala la kubariki ndoa nikapewa muda wa kufikiria

Lakini haikutosha nikaja kuongea na Mke nikamwambia naona ubadilishe wewe au tukafunge ndoa ya Kiserikali hakunijibu ila alionekana kukasirika sana

Mwisho wa siku nilikuwa ofisini yeye anafanya kazi sehemu nyingine kwa hiyo tunatofautiana kurudi

Nilikuta kachukua vitu vyake tu kaondoka nikamtafuta akaniambia unavyoona ndo ivo nimechoka ruhusu maisha mengine yaendelee

Kwa kweli nilichoka sana niliumia mno ukizingatia alinivumilia sana kwenye shida nyingi nilizopita nae ila now sipo nae

Nilimtumia mesej na nikaongea nae pia kuwa nipo tayari kufanya ivo na nikaenda kwa mchungaji nikamwambia maoni yangu

Lakini yeye anasema hata ukija church siwezi rudi kwako lakini kwa moyo wangu najua ana hasira sana na mimi

Na kwao niliwaambia kuhusu kuondoka kwake pia
wakasema wataongea naye lakini hawakurudisha majibu sahihi

Sasa ndugu zanguni msinicheke kwa Mapenzi yangu ila naomba mnishauri je anaweza rudi nikamuoa nikienda church kwao? au ndo kama alivosema hata nikienda church kwao harudiani na mimi nitafute msichana mwingine wa kumuoa?

Naombeni ushauri ndugu marafiki [emoji120]
Uliaribu mwanzo ila Kama unampemda we kubali kubadili mbembeleze hatochomoa mbele kwa mbele mwenye imani atamvuta mwenzake.
Usione aibu kubadili kwasababu wapo wanaume wengi washabadili na maisha yakaenda
 
Unataka kuwa naswara kwa ajili ya mwanamke?Hebu kuwa serious!
 
Habari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu
29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26
Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm

Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo

Lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kumpata anikunalie nilimdanya jina na
Dini yangu ili akubali

na sikujua kama nitaishi naye miaka mingi
Nilimwambia naitwa Rich
ni mkiristo ivo ikawa rahisi kuwa naye pia

Lakini kadiri muda unavyokwenda alikuja jua ukweli na nilimwambia anisamehe maisha yakaendelea

Nilienda kwao nikatoa Mahari nusu ila walijua Dini
yangu wakati wa Mahari 2016 na walinipokea

Yeye alipendelea sana kwenda kanisani na hakutaka kuwa mbali na Maombi

Ilifika kipindi anataka nimuoe lakini alitaka nimuoe kupitia Dini yake dhehebu Anglican

Nilimzungusha sana ila nilikuwa nampenda sana hata yeye alinipenda sana
Sijawahi hata ona mwanaume akipita pita kwake

Miaka niliyoishi naye imetosha kumuamini lakini kilichokuja kuleta tofauti ni Dini tu

Kuna kipindi nilienda nae kanisani kwao kwa mchungaji wake nikaomba anipe muda wa kufikiria ili swala la kubariki ndoa nikapewa muda wa kufikiria

Lakini haikutosha nikaja kuongea na Mke nikamwambia naona ubadilishe wewe au tukafunge ndoa ya Kiserikali hakunijibu ila alionekana kukasirika sana

Mwisho wa siku nilikuwa ofisini yeye anafanya kazi sehemu nyingine kwa hiyo tunatofautiana kurudi

Nilikuta kachukua vitu vyake tu kaondoka nikamtafuta akaniambia unavyoona ndo ivo nimechoka ruhusu maisha mengine yaendelee

Kwa kweli nilichoka sana niliumia mno ukizingatia alinivumilia sana kwenye shida nyingi nilizopita nae ila now sipo nae

Nilimtumia mesej na nikaongea nae pia kuwa nipo tayari kufanya ivo na nikaenda kwa mchungaji nikamwambia maoni yangu

Lakini yeye anasema hata ukija church siwezi rudi kwako lakini kwa moyo wangu najua ana hasira sana na mimi

Na kwao niliwaambia kuhusu kuondoka kwake pia
wakasema wataongea naye lakini hawakurudisha majibu sahihi

Sasa ndugu zanguni msinicheke kwa Mapenzi yangu ila naomba mnishauri je anaweza rudi nikamuoa nikienda church kwao? au ndo kama alivosema hata nikienda church kwao harudiani na mimi nitafute msichana mwingine wa kumuoa?

Naombeni ushauri ndugu marafiki [emoji120]
Kaisha pata mwingine huyo mkuu
 
Dini ya wamissionaries kweli ilikuja na malengo ya kutupumbaza.
 
Hatukucheki lakini wewe ulimchezea mwenzio,ukalichezea penzi lake,ukamdanganya,sasa kakujibu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu

Dini yako hainisaidii chochote kwenye maisha yangu. kahubirie wahindu wanaoabudu jua kama unataka kuiuhbiri
 
Tukiweka imani pembeni, suala la kumbadilisha mtu imani yake aliokuwa nayo na utamaduni wake ili uwe nae ni ubinafsi wa hali ya juu,
kama kila mtu hawezi kubaki na dini yake alichofanya ni sahihi, jipe muda utamsahau maisha yataenda tu.

Hebu fikiria eti uoe mzungu umlazimishe aamini unachokiamini wewe, kosa ni lako ulimdanganya ulipaswa kumuelezea ukweli baada ya kukubali na kuweka msimamo wako wazi.
 
Habari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu
29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26
Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm

Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo

Lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kumpata anikunalie nilimdanya jina na
Dini yangu ili akubali

na sikujua kama nitaishi naye miaka mingi
Nilimwambia naitwa Rich
ni mkiristo ivo ikawa rahisi kuwa naye pia

Lakini kadiri muda unavyokwenda alikuja jua ukweli na nilimwambia anisamehe maisha yakaendelea

Nilienda kwao nikatoa Mahari nusu ila walijua Dini
yangu wakati wa Mahari 2016 na walinipokea

Yeye alipendelea sana kwenda kanisani na hakutaka kuwa mbali na Maombi

Ilifika kipindi anataka nimuoe lakini alitaka nimuoe kupitia Dini yake dhehebu Anglican

Nilimzungusha sana ila nilikuwa nampenda sana hata yeye alinipenda sana
Sijawahi hata ona mwanaume akipita pita kwake

Miaka niliyoishi naye imetosha kumuamini lakini kilichokuja kuleta tofauti ni Dini tu

Kuna kipindi nilienda nae kanisani kwao kwa mchungaji wake nikaomba anipe muda wa kufikiria ili swala la kubariki ndoa nikapewa muda wa kufikiria

Lakini haikutosha nikaja kuongea na Mke nikamwambia naona ubadilishe wewe au tukafunge ndoa ya Kiserikali hakunijibu ila alionekana kukasirika sana

Mwisho wa siku nilikuwa ofisini yeye anafanya kazi sehemu nyingine kwa hiyo tunatofautiana kurudi

Nilikuta kachukua vitu vyake tu kaondoka nikamtafuta akaniambia unavyoona ndo ivo nimechoka ruhusu maisha mengine yaendelee

Kwa kweli nilichoka sana niliumia mno ukizingatia alinivumilia sana kwenye shida nyingi nilizopita nae ila now sipo nae

Nilimtumia mesej na nikaongea nae pia kuwa nipo tayari kufanya ivo na nikaenda kwa mchungaji nikamwambia maoni yangu

Lakini yeye anasema hata ukija church siwezi rudi kwako lakini kwa moyo wangu najua ana hasira sana na mimi

Na kwao niliwaambia kuhusu kuondoka kwake pia
wakasema wataongea naye lakini hawakurudisha majibu sahihi

Sasa ndugu zanguni msinicheke kwa Mapenzi yangu ila naomba mnishauri je anaweza rudi nikamuoa nikienda church kwao? au ndo kama alivosema hata nikienda church kwao harudiani na mimi nitafute msichana mwingine wa kumuoa?

Naombeni ushauri ndugu marafiki [emoji120]
Amekuacha sababu huna msimamo katika maamuz yako
 
Msingekua na mihadhara ya kina shehe Mazinde na wenzake ya kuponda watu na dini zao

Hakuna anaeponda au kukashifu dini. Inaonyesha hufuatilii mihadhara ya dini mzehe.

Watumishi wenu awana uwezo wa kupambana na akina mazinge na wenzie. Hebu fatiria youtube uone watumishi wenu wanavohaha, hao mnaowasifia wanaogopa kukutananao wanajua watazalilika 😂, mtikila mwenyewe analijua hilo ndiomana hasubutu kuingianao debate.
 
Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
Kafiri yenyewe mmeitoa kwenye Bible, mwendo wa ku copy na paste
 
Back
Top Bottom