Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,125
- Thread starter
- #101
dah coment yako imekuja na maumivu sana yaan nimeumizwa sana na maneno yamenichoma haswa, ngoja nilud kwanza hom nikamle makofi, pumbv zake kumbe mbele jamii naonekana bwege wakati mi najuaga namkubaliHii comment ina ashiria kua huyo mkeo kakutawala sana,amesha kuona wewe ni dhaifu mbele yake,
Kijana kaza kiume,wewe ndio mfalme wa hiyo himaya yako,
Huyo mkeo mpeleke kwao huko akajifunze adabu kwanza,ukisha mfikisha kwao,kata mawasiliano nae kabisa ili akili imkae sawa,
Ningekupa ushauri wa kumtwanga talako ila nimeona kabisa kua huna jeuri hiyo.