[emoji1787]kibaraza chao Kiko seblenii[emoji28]Nyie mlikua na matatizo yenu hata kabla ya hiyo issue ya msg,
Halafu umesema mlikua mnaangalia tv Kibalazani? au mimi ndio sielewi!
Hebu tuwekane sawa kwanza, wewe mwanamke au mwanaumeMi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Mpende sana.Huyo ndiyo mkeo.Tukikusimulia yetu utalia.Kuwa makini asikuue.Mi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Mi ndio yule kijana wa hovyo

LooKwahiyo msg ilisemaje?
Mpandishe cheo awe Mke mkubwa, very simple. Na ajue kabisa kuwa siku hizi amekua nyumba kubwawakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Unakumbushwa kurejesha deni lako la Tsh 223128 la SONGESHA. Ili kulipa deni weka pesa kwenye akaunti yako au Piga *150*00#>Huduma za Kifedha>SONGESHA>LIPA DENI.Kwahiyo msg ilisemaje?
Duh songesha wana upendeleo..wengine tumestuck kwenye buku mbili mwenzetu unapewa laki mbili. Shem umetisha sanaUnakumbushwa kurejesha deni lako la Tsh 223128 la SONGESHA. Ili kulipa deni weka pesa kwenye akaunti yako au Piga *150*00#>Huduma za Kifedha>SONGESHA>LIPA DENI.
Sio Mimi, ni MESEJI ya mhumumiwa aliyemng'ata kipenzi chakeDuh songesha wana upendeleo..wengine tumestuck kwenye buku mbili mwenzetu unapewa laki mbili. Shem umetisha sana
ushauri wako muhimu sana rafiki 😃😌Sidhani kama nina neno la kushauri hapa...☹️
Kang'atwa kisa SONGESHA 😅Sio Mimi, ni MESEJI ya mhumumiwa aliyemng'ata kipenzi chake
Songesha alituma MESEJIKang'atwa kisa SONGESHA 😅
Na wewe mng'ate jicho, natumai unanielewa ni jicho gani mr bannnimejeruhiwa dam zimenitoka bado nimkaze, hizo hisia natoa wapi? Kwanza kaomba msamaha nimemjimu nimekusamehe halafu nimetoka nimemwacha kalala mwenyewe hapa nawaza nimfanye nini ili ajutie alichokifanya? Nipasue simu, nimle makofi, nimnunie week, au niende polisi, nawaza mpaka akili ina shake
Kabila gani tuanzie hapo kwnzaMi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
TalakaMi ndio yule kijana wa hovyo