Mke wangu kaning'ata usoni nimfanyeje?

Mke wangu kaning'ata usoni nimfanyeje?

sizan kama nimemkosea mpaka kufikia huko ila dah ngoja kwanza nipone japo kaomba msamaha nimemjibu sawa ila roho inakataa kumsamehe kwanza kanikosea pili katoka nje kani dhalilisha yakuwa nampiga kila siku huku akilia wakati si kweli meno yake sio shida, shida kutoa nje mambo
Hii comment ina ashiria kua huyo mkeo kakutawala sana,amesha kuona wewe ni dhaifu mbele yake,

Kijana kaza kiume,wewe ndio mfalme wa hiyo himaya yako,

Huyo mkeo mpeleke kwao huko akajifunze adabu kwanza,ukisha mfikisha kwao,kata mawasiliano nae kabisa ili akili imkae sawa,

Ningekupa ushauri wa kumtwanga talako ila nimeona kabisa kua huna jeuri hiyo.
 
hii nimeipenda, huyo mwanamke anamchukulia huyu mwanaume ni dhaifu, kacheza faulo ya kwanza simu ya mchepuko, anaulizwa anang'ata jicho, makosa mawili na bado mume anakimbilia JF kuuliza afanye nini...khaa
wengine hatujaumbwa kuchukua maamuz ya ghafla huwa tuna pima kwanza mwanzo na hitimisho ndio mana imekuwa hivyo? Ningekuwa niko na maamuz ya ghafla mbona ningemwonyesha kibano
 
inaelekea wewe ni gentleman fulani, tatizo mkeo anachukulia huu ugentleman kama udhaifu, ungemzibua vibao viwili tu to reset her brain kama huwezi kumpeleka kwao kwa muda,
 
Hii comment ina ashiria kua huyo mkeo kakutawala sana,amesha kuona wewe ni dhaifu mbele yake,

Kijana kaza kiume,wewe ndio mfalme wa hiyo himaya yako,

Huyo mkeo mpeleke kwao huko akajifunze adabu kwanza,ukisha mfikisha kwao,kata mawasiliano nae kabisa ili akili imkae sawa,

Ningekupa ushauri wa kumtwanga talako ila nimeona kabisa kua huna jeuri hiyo.
mzee baba simba mkali ila kwa mkewake anakuwa fala, sasa mkuu mi ni fala sio? Na kwann mi fala unazani anaubavu wa kunifanyia atakalo kwakuwa mi ni fala?
 
Mpige vitatu vya vyakuunga
nimejeruhiwa dam zimenitoka bado nimkaze, hizo hisia natoa wapi? Kwanza kaomba msamaha nimemjimu nimekusamehe halafu nimetoka nimemwacha kalala mwenyewe hapa nawaza nimfanye nini ili ajutie alichokifanya? Nipasue simu, nimle makofi, nimnunie week, au niende polisi, nawaza mpaka akili ina shake
 
sizan kama nimemkosea mpaka kufikia huko ila dah ngoja kwanza nipone japo kaomba msamaha nimemjibu sawa ila roho inakataa kumsamehe kwanza kanikosea pili katoka nje kani dhalilisha yakuwa nampiga kila siku huku akilia wakati si kweli meno yake sio shida, shida kutoa nje mambo
Wewe ni ..u....ma. unazingua sana

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
hii nimeipenda, huyo mwanamke anamchukulia huyu mwanaume ni dhaifu, kacheza faulo ya kwanza simu ya mchepuko, anaulizwa anang'ata jicho, makosa mawili na bado mume anakimbilia JF kuuliza afanye nini...khaa
Kwaiyo hapo tuseme amechezea faulo nne 🙌 .

Binafsi cjaipenda, mwanamke hatakiwi kushikana mashati na Mme wake na namna alivyo react mbele ya majirani inaonyesha ni mwanamke wa kulipiza visasi . 🥴
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom