Mke wangu kakasirika kisa nimekataa asinipake mafuta mwili mzima

Mke wangu kakasirika kisa nimekataa asinipake mafuta mwili mzima

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,475
Reaction score
3,538
Yani mapenzi muda mwingine shida sana, amekasirika kwa jambo la ajabu sana. yeye analazimisha kua asubuhi nikitoka anipake mafuta mwili mzima, ila mimi sipo comfortable kabisa. Anaona ni nini namficha na yeye ni mke wangu.

Hili hapana
 
Kuna kitu anataka hakiki bwashee
20250716_090338.jpg
 
Mshamba wa mapenzi...
Hujui utamu wa kupakawa mafuta na mikono ya mwanamke wewe...

Anakutomasa taratibu na vimasaji vya hapa na pale

Naishia hapa kwa Leo...
Mwanaume mafuta ya kazi gani na wewe?
 
Back
Top Bottom