Mkuu usimkalishe ndani sana. Mda mwingine kukaa ndani unaweza kuta anajichua hivyo anakua ahana hamu tena. Mda mwingine uwe unamtoa outing hata weekend mnalala huko siku zote na unampa mpapenzi mazuri ya utulivu. Mujengee akili ya kukupenda. Tafuta vitu anapendelea afu mufanyie hivyo.. Tatizo kubwa laweza kuwa hajakukubali wewe kama wewe ila with time anaweza akasahu yote na akawa na wewe.
Onyo - - Usitafute mtu wa kuongea nae hili swala ukiwa na mkeo.. Mkeo anaweza kukushusha kiwango hadi sifuri. Pambana na ndoa yako kiume.