Mke wangu hataki nimuadhibu mtoto akikosea

Kwa kweli,wamejipanga kila sector ili Mambo yao ya kishetani yatimie,Mungu tu atulinde maana Mashoga wananguvu kubwa hapa Duniani kuliko Malijali, na hii sijui imesababishwa na nini!?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Yaani haki za hawa jamaa zimewekewa sheria kiasi kwamba dunia imepoteza maelekeo
 
Mimi hua namwambia Junior my son don't cry eeeeh,nakauliza umeharibu remote ya Tv kanajibu yes dady then namwambia haya chukua na hio miwani yangu nayo vunja sawa my lovely son.

Then Junior anaivunja miwani na akimaliza nampongeza namwambia come on junior you're everything in our family na kenyewe kanajibu Yes Papaa,nakaambia haya make papa happy nenda kajisaidie kwny sufuria la chakula jikoni,kanaenda kujisaidia kwa furahaaaaaaaaa.
ningependa kujua umri wa jr kwakweli
 
Baba Ako alikua anampiga Mama yako pamoja na Wewe ?...Duuuh NAWEWE umeona huu Ni mfano Bora?

Sijawai ona wazazi wangu akipigana...Wala kurushiana maneno.
unataka kuona wakipigana kwani wako sawa??, yaani mkeo mpigane? au mume ampige mke wake??.

Mama kama hajitambui, baba ana wajibu wa kumdhibiti mama ili kusaidia watoto wasilelewe na tabia mbaya. Nina wasiwasi na wewe huko uliko
 
Shuleni hapati adhabu akikosea? Km shule anaadhibiwa,
Iweje wewe mzazi usimwadhibu,au una kono la tembo?
Jichunguze sabb,au huenda wewe ni mzawa wa kanda maalumu.
 
Shuleni hapati adhabu akikosea? Km shule anaadhibiwa,
Iweje wewe mzazi usimwadhibu,au una kono la tembo?
Jichunguze sabb,au huenda wewe ni mzawa wa kanda maalumu.
Inategemea na shule, kuna shule zingine mpaka umuadhibu mtoto lazima ujaze form maalumu yenye maelezo ya kuridhisha isainiwe na mkuu wa shule, ndio umuadhibu mtoto, na sio kila adhabu inaruhusiwa, tena fimbo ndio kabisa zinapigwa marufuku

Adhabu za kawaida ambazo hazihitaji signature ya mkuu wa shule na ni common mtoto anaweza kupewa labda kusoma page kadhaa za story books halafu anasimulia mbele ya wenzake, au kuandika short story,kuchora,kuandika speech na kuadress mbele ya wenzake na inategemea na darasa alilopo..adhabu inaendana na level yake

adhabu ambazo zinaendana na mazingira ya masomo, sio adhabu ya kushika masikio na kuruka kichura kama yupo jeshini, maisha yamebadilika sana sio kama zamani unapigwa na mwalimu mpaka unatoroka shule au unavaa jinsi ndani ya uniform ili fimbo zisiambulie kitu
 
Duu, km bado mtu hana familia,sio rahisi kujua yote haya.
Binafsi sikua najua.
 
Back
Top Bottom