Baba Ako alikua anampiga Mama yako pamoja na Wewe ?...Duuuh NAWEWE umeona huu Ni mfano Bora?kuwa makini, nina wasi na UANAUME WAKO ndugu. Kama baba wakweli na halisi ukitaka kumnyoosha mtoto usijali chochote ikiwezekana changanya na mama yake (kama ni kikwazo) piga wote hadi wanyooke. Ndivyo baba yangu alikuwa akifanya...alikuwa akipiga mama na mtoto
Sasa junior akija kuliwa kiboga usishangae.. Ulishamtengeneza kuwa hivyoMimi hua namwambia Junior my son don't cry eeeeh,nakauliza umeharibu remote ya Tv kanajibu yes dady then namwambia haya chukua na hio miwani yangu nayo vunja sawa my lovely son.
Then Junior anaivunja miwani na akimaliza nampongeza namwambia come on junior you're everything in our family na kenyewe kanajibu Yes Papaa,nakaambia haya make papa happy nenda kajisaidie kwny sufuria la chakula jikoni,kanaenda kujisaidia kwa furahaaaaaaaaa.
Sasa si Bora wawachukuwe kabisa kuliko kukaa na vitoto visivyo tii amri zangu za Nyumbani!!Kweli kabisa, niliishi na familia moja Fayetteville, North Carolina, walikuwa na mabinti mapacha miaka 13. Siku hiyo watoto wake walirudi nyumbani saa mbili usiku, bila taarifa yoyote kwa wazazi wakitika shule. Basi baba yao akawa akinung'unika kwa nini wamechelewa. Wale watoto walisema neno moja tu, ukiendelea kutusumbua tutaita polisi sasa hivi. Yule baba akaanza kujitetea kuwa anawasaidia tu kwa maisha yao. Watoto wamekasirika vibaya sana, baba anaomba msamaha.
Kibongo bongo nilijawa hasira vibaya mno, nikamuuliza jamaa, kwa nini uwabembeleze hivyo wakati ni watoto tu? Jamaa akanituliza haraka, kwamba kwa sheria za Marekani mtoto akifikisha miaka 12 ni kama sio wako tena. Analindwa na sheria za nchi balaa. Akasema hawa watoto wakienda polisi nimaweza hata kunyan'ganywa.
Kuna sehemu flani nilikua majuu huko kipindi flani dogo hataki kunywa chai nikamnyuka balaa. Halafu gari la shule likafika anataka kutoka nikaogopa nikawaambia nendeni tu nitamleta mwenyewe ili asije akaenda shule analia buree nikashtakiwa.Mkuu, Ulaya kuna nidhamu ya malezi, bongo bila hivyo tutakuza kizazi cha panya road
Mimi kinyume chake. Wife sitaki ampige mtoto coz hajui kupiga ana hasira. Mimi ndio nataka nimuadhibu mwanangu sio yeye.Kuna tabia inanikera sana mtoto akikosea yeye anamuadhibu ila mimi nikimuadhibu inakua tatizo kubwa sana hata kununa siku nzima, wajuzi wa mambo hii hali ni kawaida au?
Ndipo malezi yanapoanzia hapo. Wakichukua wanarudi na ndoa za jinsia mojaSasa si Bora wawachukuwe kabisa kuliko kukaa na vitoto visivyo tii amri zangu za Nyumbani!!
Amesema anamuadhibuje tuanzie hapoPengine adhabu unayompa mtoto ni kubwa kuliko umri, au kosa lake, au ni adhabu ya kikatili sana kiasi mke roho inamuuma, maana sisi wanawake tuna mioyo miepesi sana when it comes to our kids, mimi naweza nikamchapa mtoto halafu baadae naanza kuumia kwamba kwa nini nimemchapa, hadi namuomba msamaha, baba yake akimchapa nasikia uchungu mpaka tumbo la uzazi linakata sema tu nakua sina jinsi nakaa kimya maana nae ana haki ya kumuadhibu kama mzazi.
Sema hapo kwenye kununa anakosea sana, cha msingi kaa uzungumze nae umwelekeze namna ambavyo mnatakiwa kumlea mtoto wenu bila kukwazana, na pia punguza adhabu kwa watoto, hakuna mwanamke anaependa kuona mtoto wake anaguswa au anaadhibiwa na mtu mwingine hata kama ni baba yake..subiri wenzagu waje maana najua tunafanana kwenye swala zima la watoto.
Out of topic, mmama ni rahisi kucharaza bakora mtoto wa mwanamke mwenzake ila mtoto wake tumbo la uzazi linakataPengine adhabu unayompa mtoto ni kubwa kuliko umri, au kosa lake, au ni adhabu ya kikatili sana kiasi mke roho inamuuma, maana sisi wanawake tuna mioyo miepesi sana when it comes to our kids, mimi naweza nikamchapa mtoto halafu baadae naanza kuumia kwamba kwa nini nimemchapa, hadi namuomba msamaha, baba yake akimchapa nasikia uchungu mpaka tumbo la uzazi linakata sema tu nakua sina jinsi nakaa kimya maana nae ana haki ya kumuadhibu kama mzazi.
Sema hapo kwenye kununa anakosea sana, cha msingi kaa uzungumze nae umwelekeze namna ambavyo mnatakiwa kumlea mtoto wenu bila kukwazana, na pia punguza adhabu kwa watoto, hakuna mwanamke anaependa kuona mtoto wake anaguswa au anaadhibiwa na mtu mwingine hata kama ni baba yake..subiri wenzagu waje maana najua tunafanana kwenye swala zima la watoto.
Aisee, kipigo cha mbwa koko lzm kihusikeMimi hua namwambia Junior my son don't cry eeeeh,nakauliza umeharibu remote ya Tv kanajibu yes dady then namwambia haya chukua na hio miwani yangu nayo vunja sawa my lovely son.
Then Junior anaivunja miwani na akimaliza nampongeza namwambia come on junior you're everything in our family na kenyewe kanajibu Yes Papaa,nakaambia haya make papa happy nenda kajisaidie kwny sufuria la chakula jikoni,kanaenda kujisaidia kwa furahaaaaaaaaa.
Kama watoto ndio wameamua nitengane nao kisa nawachunga potelea potee na waite hao police waende huko wanako enda kwani pumbu zangu zimeishiwa mbegu...? Leta wengine tu no one caresKweli kabisa, niliishi na familia moja Fayetteville, North Carolina, walikuwa na mabinti mapacha miaka 13. Siku hiyo watoto wake walirudi nyumbani saa mbili usiku, bila taarifa yoyote kwa wazazi wakitika shule. Basi baba yao akawa akinung'unika kwa nini wamechelewa. Wale watoto walisema neno moja tu, ukiendelea kutusumbua tutaita polisi sasa hivi. Yule baba akaanza kujitetea kuwa anawasaidia tu kwa maisha yao. Watoto wamekasirika vibaya sana, baba anaomba msamaha.
Kibongo bongo nilijawa hasira vibaya mno, nikamuuliza jamaa, kwa nini uwabembeleze hivyo wakati ni watoto tu? Jamaa akanituliza haraka, kwamba kwa sheria za Marekani mtoto akifikisha miaka 12 ni kama sio wako tena. Analindwa na sheria za nchi balaa. Akasema hawa watoto wakienda polisi nimaweza hata kunyan'ganywa.
Inategemea na mtu, ila kwa kweli mimi namchukia mtu anaepiga watoto, huwa napata uchungu sana, kuna mahala niliona mama anacharaza mtoto tena kipigo cha mbwa mwizi, nilikua napita nikashindwa kujizuia nikamfata nikamwambia muache huyo mtoto hastahili kipigo cha namna hiyo, yule mama hakujibu ila hakuendelea kumpiga mtoto, nikamuukiza amekosea nini eti akasema ameenda kuzurura tangu asubuhi, nikamwambia tu mfundishe kukaa nyumbani, mjengee mazingira, mnunulie michezo, mpe vitu vya kumfanya apende kucheza mazingira ya nyumbani, kumpiga hakusaidiiOut of topic, mmama ni rahisi kucharaza bakora mtoto wa mwanamke mwenzake ila mtoto wake tumbo la uzazi linakata
Kulea sio vita muraa, mkipiga sana watoto baadae wanakuja kuwa viongozi wa kitaifa wanawaambia watawatandika mpaka shangazi zenu vibokoAisee, kipigo cha mbwa koko lzm kihusike
Jamani Baba Junior 😀😀 yaani ntampiga huyo junior wako hatoamini kwenye sufuria?🙌Mimi hua namwambia Junior my son don't cry eeeeh,nakauliza umeharibu remote ya Tv kanajibu yes dady then namwambia haya chukua na hio miwani yangu nayo vunja sawa my lovely son.
Then Junior anaivunja miwani na akimaliza nampongeza namwambia come on junior you're everything in our family na kenyewe kanajibu Yes Papaa,nakaambia haya make papa happy nenda kajisaidie kwny sufuria la chakula jikoni,kanaenda kujisaidia kwa furahaaaaaaaaa.
Kwa kweli,wamejipanga kila sector ili Mambo yao ya kishetani yatimie,Mungu tu atulinde maana Mashoga wananguvu kubwa hapa Duniani kuliko Malijali, na hii sijui imesababishwa na nini!?Ndipo malezi yanapoanzia hapo. Wakichukua wanarudi na ndoa za jinsia moja
Uko sawa, huenda yeye anapiga ovyo ovyo bila kujaliMimi kinyume chake. Wife sitaki ampige mtoto coz hajui kupiga ana hasira. Mimi ndio nataka nimuadhibu mwanangu sio yeye.
By the way watoto hawachapwi chapwi ovyo