Mke wangu hataki kunipa utamu, nifanye nini?

Mke wangu hataki kunipa utamu, nifanye nini?

Wakishajifungua uwa hawana nyege kabisa mwache apumzike kwa muda wa miezi 6 kama hauwezi nenda buguru kimboka au temeke kwa wahaya.
 
Wakishajifungua uwa hawana nyege kabisa mwache apumzike kwa muda wa miezi 6 kama hauwezi nenda buguru kimboka au temeke kwa wahaya.
Kiafya haijakaa hivyo mkuu

Miezi sita wewe kuweza.

Unadhani ni issue rahisi
 
Maswali mengine bana! Hivi kumuolea mke mwingine hili nalo mpaka ufundishwe kiongozi
 
Mamwanamke yamejaa nchi nzima hii,unahangaika na huyo kikongwe?
 
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Mwanamke akiwa anyonyesha huwa habebi mimba jiongeze mtoto sio wako
 
Wewe ni mwehuu Tena Huna akili mtu kajifungua ,at least 6 month kama kidonda kimepona Kwa njia zote unajua uchungu wewe
 
Back
Top Bottom