nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
- Thread starter
- #41
Kuna mtu kalia humuHalafu uendelee kulia lia, mwanaume mwenye maamuzi akishayaamua haji kulia lie,
Kwenye ndoa una option mbili "Be happy or be right" if you want to be right kwa mke, huwezi kuwa na furaha.