Mke wangu hataki kunipa utamu, nifanye nini?

Tukiwaambia Kataa ndoa ni mateso na uonevu kwa mwanaume mnajifanya mnakuja hapa kujitetea na kujifariji[emoji38][emoji38]

#KATAANDOA
 
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Muulize kiundani shida nini.
Kisha mfanye ajisikie amani.
Alafu usimuombe, we mfanye ajiskie raha akiwa nawe kisha zama ndani fanya yako, mpeleke taratibu.

Ila kama bado inashindikana, mueleze ukweli kwamba umejaribu kumfanya ajiiskie amani lakini bado, hilo jambo huwezi livumilia kwa kuna una haja na unataka kufanya, hivyo ajichunge asikufanye utoke nje.
 
Tatizo lako unashindwa kusimama kwenye nyumba kama Mwanamume halisi ndio maana Mkeo anakuwa na jeuri ya kukunyima unyumba.

Ningekuwa mimi ningemwambia hivi; "chagua moja kati ya haya mawili. Uondoke hapa nyumbani nilete Mwanamke mwingine atakayenipa unyumba au ubakie na unipe unyumba. Nakupa masaa 24 uwe umenipa jibu".

Ukishamwambia haya maneno ondoka hapo nyumbani ukiwa serious, bamiza mlango na nenda zako kanywe pombe au popote pale. Kisha rudi saa 9 sa usiku ukiwa na hasira kama Mbogo, rudia maneno yale yale na mwambie kama hataki aanze kufungasha nguo zake.

Jaribu hili zoezi, Asipokupa haki yako utaniambia.
Aisee, sophy27 toa ushauri dada yangu. Yaani hilo neno uanaume zikija changamoto zakutatua kama mwanaume tunataka tuonewe huruma na kusema wanawake pasua kichwa ila sasa swala la mapenzi sasa, ndio uanaume unajaa tele. Mtoto wa miezi mitatu😂😂😂, dah. Tunawalaumu wanawake kuwa wanapenda kutulinganisha na wanaume wengine ila hapa sisi tunawalinganisha na wanawake wengine😂😂😂. Sisi ndio tunaanza kuwa confused gender sasa. Sio kila alioliweza Sophy basi na Rehema ataweza. Utafanyaje mapenzi na mtu ambaye hana hamasa kabisa na wewe huku umemtisha. Kuna jamaa ametoa ushauri uko juu kua ushawishi hauishii mkishafunga ndoa bali hata ndani ya ndoa. Utamfanya mtoto wako afe njaa kwakumuharibu mama kichwa chake psychologically.
 
Aisee, sophy27 toa ushauri dada yangu. Yaani hilo neno uanaume zikija changamoto zakutatua kama mwanaume tunataka tuonewe huruma na kusema wanawake pasua kichwa ila sasa swala la mapenzi sasa, ndio uanaume unajaa tele. Mtoto wa miezi mitatu😂😂😂, dah. Tunawalaumu wanawake kuwa wanapenda kutulinganisha na wanaume wengine ila hapa sisi tunawalinganisha na wanawake wengine😂😂😂. Sisi ndio tunaanza kuwa confused gender sasa. Sio kila alioliweza Sophy basi na ataweza. Utafanyaje mapenzi na mtu ambaye hana hamasa kabisa na wewe huku umemtisha. Kuna jamaa ametoa ushauri uko juu kua ushawishi hauishii mkishafunga ndoa bali hata ndani ya ndoa. Utamfanya mtoto wako afe njaa kwakumuharibu mama kichwa chake psychologically.

Aisee, sophy27 toa ushauri dada yangu. Yaani hilo neno uanaume zikija changamoto zakutatua kama mwanaume tunataka tuonewe huruma na kusema wanawake pasua kichwa ila sasa swala la mapenzi sasa, ndio uanaume unajaa tele. Mtoto wa miezi mitatu😂😂😂, dah. Tunawalaumu wanawake kuwa wanapenda kutulinganisha na wanaume wengine ila hapa sisi tunawalinganisha na wanawake wengine😂😂😂. Sisi ndio tunaanza kuwa confused gender sasa. Sio kila alioliweza Sophy basi na Rehema ataweza. Utafanyaje mapenzi na mtu ambaye hana hamasa kabisa na wewe huku umemtisha. Kuna jamaa ametoa ushauri uko juu kua ushawishi hauishii mkishafunga ndoa bali hata ndani ya ndoa. Utamfanya mtoto wako afe njaa kwakumuharibu mama kichwa chake psychologically.
Umeongea kisomi mdogowangu
 
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Ndiyo maana Mungu aliwaumba wengi kwa idadi, mmoja anapokuwa mateniti leave unavuta wa akiba
 
Naona kama kajazwa maneno na watu kuhusiana na Mambo ya kubemenda.

Maana hata ndom Hataki
Tangu lini baba mtoto akabemenda mwanae kwa jasho na aliyezaa nae!??

Halafu kubemenda mara nyingi ni yeye akizingua na akawa anamnyonyesha mtoto....
 
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Alafu wewe ni mnyanyasaji mkiambiwa muoe wa wawili hadi nne hamtaki sasa tukshauri je
 
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Ila nimekuja kugundua huwezi kuta feminist anatokea Tanga au Pwani [emoji23][emoji23]wengi ni wa mikoa fulani fulani na hawajui kupika. Sijui kwa nini
 
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
There’s no definitive timeline that says how long you should wait to have sex after giving birth. However, most doctors recommend women wait four to six weeks following a vaginal delivery.
 
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.

TABIA YA WANAWAKE KUOANA IMESHAMIRI SANA MIAKA HII. SIJUI KWA NINI. NYIE WOTE TAFUTENI WANAUME MUOLEWE.
 
Back
Top Bottom