muvangulumemile
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 697
- 986
Hujielewi wewe, naona unamtafutia kansa mke wakoYeah unapigiliwa mbona wangu kaenda kuchomwa sinando nakula raha
Hujielewi wewe, naona unamtafutia kansa mke wakoYeah unapigiliwa mbona wangu kaenda kuchomwa sinando nakula raha
Mkuu unawez kaa mwak mmoja zaid usipojiongezaWakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.
Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.
Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
ahahahahahahhaha 😂😂😂😂😂😂😂Muendee na style ya telezaa wa Arusha hatakaa akunyime tena. Unajipaka mafuta mwili mzima halafu unaingilia dirishani unampiga faru mpaka achanganyikiwe halafu unateleza zako kibingwa bila ya yeye kujua ni nanani amekula uroda
Mara unawambia chai mara unakuja kumkashifu, mkuu kuna mambo mengine sio ya kukashifiana mtu kaomba ushauri lakini matokeo yake washauri wenyewe ndio nyinyi. Hayajakukuta na hauijui thamani ya ushauri kwa sababu hayajakukuta.Kwahiyo umekuja kutulalamikia sisi ili ndio tukuombee utamu kwa mkeo?
Likizo hiyo mzeeWakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.
Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.
Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Nyie hamna haya kwani K Moja ??Msengelema sana.
Unafrwa nini.
Matusi ya nini?
Hayupo mwenyewe Hawana akili haooHujielewi wewe, naona unamtafutia kansa mke wako
Aiseeee, we jamaa Mungu anakuona ujue. Umenifanya nicheke sana.Muue tu
Utumwa huu.Nimeelewa, maelezo yako hajarizika nayo, ni jukumu lako 'if you are Man enough' kumfanya comfortable.
Shida yenu wavulana mnaamimi kutongoza na kuoa kumetosha kuapata kila kitu.
Kutongoza hata ukishao na ushawishi unaendelea ndugu, huku hatuna msaada, wewe mfanye mke wako a kuamini.
Utani: Subiri baba wa mtoto amkaribishe mtoto nyumbani kwao wewe utaendelea baadae,Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.
Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.
Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Huko uchochoroni ulikuwa unatafuta nini?Ww sio baba mtoto kwa imani za uchochoroni
Kumbe unanifuatilia,keep it up,i like it.Mara unawambia chai mara unakuja kumkashifu, mkuu kuna mambo mengine sio ya kukashifiana mtu kaomba ushauri lakini matokeo yake washauri wenyewe ndio nyinyi. Hayajakukuta na hauijui thamani ya ushauri kwa sababu hayajakukuta.
Utumwa huu.
Hujui Ulioa kwa Lengo gani??? Kama ulifata utelezi umeumiaWakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.
Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.
Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Ushauri wa kitoto na WA kizamaniTatizo lako unashindwa kusimama kwenye nyumba kama Mwanamume halisi ndio maana Mkeo anakuwa na jeuri ya kukunyima unyumba.
Ningekuwa mimi ningemwambia hivi; "chagua moja kati ya haya mawili. Uondoke hapa nyumbani nilete Mwanamke mwingine atakayenipa unyumba au ubakie na unipe unyumba. Nakupa masaa 24 uwe umenipa jibu".
Ukishamwambia haya maneno ondoka hapo nyumbani ukiwa serious, bamiza mlango na nenda zako kanywe pombe au popote pale. Kisha rudi saa 9 sa usiku ukiwa na hasira kama Mbogo, rudia maneno yale yale na mwambie kama hataki aanze kufungasha nguo zake.
Jaribu hili zoezi, Asipokupa haki yako utaniambia.
Una haraka wewe tulia mkeo anyonyeshe ili hata afahamu anaingia kwenye siku zake baada ya miezi mitatu au anaingia baada ya miezi tisa hapo anakuwa na uhakika zaidiWakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.
Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.
Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Dah 🤣🤣....itakuwa mkiaMfukuze. Hivi wewe ni kichwa cha nyumba kweli, au ni mkia wa nyumba,?