Mke wangu hataki kunipa utamu, nifanye nini?

Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Huna akili
 
Kwan ndom si zipo?
 
Mwanamke akijifungua anapoteza hamu ya kufanya ngono kwasababu ya kupanda homoni ya prolactin.

Nenda kabutue nje.
 
Wakuu mke wangu amejifungua yapita mwezi wa tatu sasa.

Ila changamoto kubwa inayonjtokea nikimuomba hanipi anasema anaogopa mimba na ananyonyesha.

Nimejaribu kuendelea kumuelekeza naona nagonga mwamba.
Mkeo ni mlokole mkuu
 
Back
Top Bottom