Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

Habari wakuu,

Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.

Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.

Mimi sio mtu wa kuchepuka lakini kwa hali kama hii kidogo itapelekea kutafuta msaada nje maana hata nikipewa napata bao 1 ambalo hamu haziishi.

Nimeshafuatilia sio kwamba anachepuka hapana ila tu sijajua ni hisia zake ziko mbali au ni kwann hapendi sana kushiriki tendo la ndoa.Hakuna sababu ya msingi anayotoa labda huenda na yy hajioni kama ana tatizo labda anaona yuko sahihi au yuko sawa.

Au labda mimi nahitaji tendo mara nyingi zaidi sijui,maana mimi nina uwezo wa kufanya hata kila siku nikipewa na kwa namna ninavyompenda na hisia nilizonazo kwake ni vigumu kulala nae bila kuomba game.

Kwa wazoefu kama kuna ushauri na maoni namna ya kusaidia ili tufurahie tendo takatifu la ndoa.

Natanguliza shukrani
Hapendi kufanya na wewe, sisi huku tunampasua tu.
 
Antena ipo?wengi ambao hawana antena huwa hawana/hisia zao huwa mbali sana na wanaloose confidence
 
Yaa brother, ulio yaongea ni kama vile nimekwambia uongee yalio moyoni... Yaani umeniongelea mimi broo,

Hata mimi wife wangu ni kama wako, hivyohivyo broo,.. Na sijawahi kumhisi na kwa jinsi nilivyo ishi nae, naweza sema hajawahi kunicheat, simuwazii hayo.. Kalelewa mazingira flani ya dini sana, afu pia alikua hapendi wanaume, sijui kwangu ilikuaje na nilimkuta kama alivyo zaliwa (hakuguswa)

Yaani kuna wakati namuulizaga, "HIVI WEWE HUHISIGI HAMU YA TENDO" kiukweli hakuwahi hata kuniambia kua ana hamu,.. Lazima nianze mimi

Broo, Shoo napiga, tena anakojoa freshi tu,.. Wife wangu hana ule ujanja wa mapenzi.. Hivyo akikojoa utajua kweli anakojoa... Tofauti na hawa wengine waongo.. na nikikazia sana ndani dk 15, hataki analazimisha nikojoe haraka, na analaumu kweli why sikojoi... Yaani yeye mda wake ni chini ya dakika 10, na hapo keshatupia vyake viwili...

Sasa najiulizaga, mbona namkojoza lakini hakuwahi kunihitaji yeye kama yeye... Kwanini?

Sasa hivi balaa limeanza, akiingia siku zake, anaona kama vile ndio Advantage ya mimi kuto fanya... Ana KIJITI, hivyo hedhi yake inaweza enda hata wiki mbili, na dawa za kukatisha anazijua ila hataki kukatisha, nahisi ili nisimuingilie... Sasa nawaza inakuaje... Broo, hata jana nimetoka kumuuliza HIVI HUNAGA HAMU WEWE?... Kweli hata mimi ishu ya kuchepuka siwezi

Ebwana kama ishu ni hizo kinga za uzazi, basi tutakoma, mana bila hizo kinga broo, utaporomosha watoto ndani ya watoto, life lenyewe ndo hili,... Leo upate kesho ukose

Pole sana ndugu yangu, hauko peke yako kaka

Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.

Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.

Mimi sio mtu wa kuchepuka lakini kwa hali kama hii kidogo itapelekea kutafuta msaada nje maana hata nikipewa napata bao 1 ambalo hamu haziishi.

Nimeshafuatilia sio kwamba anachepuka hapana ila tu sijajua ni hisia zake ziko mbali au ni kwann hapendi sana kushiriki tendo la ndoa.Hakuna sababu ya msingi anayotoa labda huenda na yy hajioni kama ana tatizo labda anaona yuko sahihi au yuko sawa.

Au labda mimi nahitaji tendo mara nyingi zaidi sijui,maana mimi nina uwezo wa kufanya hata kila siku nikipewa na kwa namna ninavyompenda na hisia nilizonazo kwake ni vigumu kulala nae bila kuomba game.

Kwa wazoefu kama kuna ushauri na maoni namna ya kusaidia ili tufurahie tendo takatifu la ndoa.

Natanguliza shukrani
Mwache
 
Sawa, hilo tatizo kama ni la siku zote.

Jaribu kubadili namna wewe na mkeo mnawasiliana

Then kama unataka game mwandae mapema, chat zako au maongezi yako yawe ya kimahaba. through out

M'bembeleze hata kwa kitu kidogo tu.(jitahidi).
Na siku unapiga mambo hakikisha unamwandaa vyakutosha.
Mwanamke ukimwandaa vizuri lazima akitupie.

Wakati unafanya usiache kumsemesha. Msifie isifie K' yake ongea hata uongo ila uwe romantic.
Anapaswa kufurahi ili mara nyingine atake tena.

Wake za watu huwa wanaliwa kirahisi kwasababu kuna mambo waume zao hawafanyi na hii ni nature.

Narudia tena, mwandae mapema kabisa.

Mtie mshawasha tokea mchana.

Asipochange sasa uingie ndani zaidi ujue hilo tatizo lake la kihisia linasababishwa na nini.
Achukue huu ushauri wako aufanyie kazi naamini utamsaidiq
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom