Kama wengi walivyosema hapo juu..uzazi wa mpango una effects kubwa sana. Tafuteni mbinu nyingine lakin hayo matakataka yanashida katika miili mno..(kwa ufahamu mdogo juu ya research nilizoshiriki kwenye masuala ya jamii na afya). Kuna tafiti mbalimbali zinaendelea duniani, so tafuteni njia mbadala.
Lakini pia ni ushauri tu, abadilishe diet. Abadilishe menu kabisa. Fried foods aachane nazo, Butter aikimbie kwa muda. Chemicals azikimbie kwa muda. Ajaribu kula natural food kama magimbi, mihogo, ndizi, viazi vitamu, nyanya chungu na bamia (kila siku) tena zilizopikwa kwa mafuta kidogo sana. Kuna sumu zimeingia na kuhatarisha vichocheo vyake nadhani.
Lakin pia how do you relate with her? Maana wanapoingiaga watoto bwana kunakuaga na mabadiliko sana. Kaeni chini, muongee..tell her what you feel na yeye akwambie whats up. Hata uende kwa wengine kumi wakizaa wakawa busy na watoto kasi zao zitapungua tu. Talk this through..mpate suluhisho. Ulimchagua ukamuona bora, then chose her all the way. FPM ni crazy shits aisee.....