Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

Habari wakuu,

Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.

Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.

Mimi sio mtu wa kuchepuka lakini kwa hali kama hii kidogo itapelekea kutafuta msaada nje maana hata nikipewa napata bao 1 ambalo hamu haziishi.

Nimeshafuatilia sio kwamba anachepuka hapana ila tu sijajua ni hisia zake ziko mbali au ni kwann hapendi sana kushiriki tendo la ndoa.Hakuna sababu ya msingi anayotoa labda huenda na yy hajioni kama ana tatizo labda anaona yuko sahihi au yuko sawa.

Au labda mimi nahitaji tendo mara nyingi zaidi sijui,maana mimi nina uwezo wa kufanya hata kila siku nikipewa na kwa namna ninavyompenda na hisia nilizonazo kwake ni vigumu kulala nae bila kuomba game.

Kwa wazoefu kama kuna ushauri na maoni namna ya kusaidia ili tufurahie tendo takatifu la ndoa.

Natanguliza shukrani
Kwa kasumba iyo mtafutie virutubisho ya viltorised for wemon
 
Kila mtu ataeleza hisia zake ila ukwel ni njia za uzazi wa mpango zimeleta mageuz makubwa kwa mwanamke hz njia zinaenda kuua system ya hormon na kuigeuza vile inavyotakikana na ndio zenye kusisimua tabia ya haki sawa yaan mwanamke kujiona kama mwanaume mtalaumu wake zenu bure na itafikia hatua mtaona meng kwenye ndoa kama mnashindwa kuwakataa wazungu na manjia yao ngojen muone mapinduz huu ni mwanzo
 
Hana hisia na wewe sio kwamba hana hisia za mapenzi. Wewe sio mtu aliempenda au niseme mtu anaemvutia ktk hilo tendo ila una mazuri yako yaliyomvutia mfano huchepuki, unajua kulea familia, unapenda watoto, mtu wa kuishi vizuri na watu n.k.
Wanawake ni watu wa ajabu sana usijiaminishe kuwa hana mtu au hachepuki, kila mwanamke awe ndoani ama lah ana mwanaume ambae hawezi kumsahau maisha yake yote aidha alimpenda au alikuwa na hisianae sana.
Hata hisia za mvuto hazijawai dumu maisha yote ya uhai,

Kanuni inayotumika katika ndoa ni kujiandaa kuvumilia,siyo ugomvi na kelele, no, ila udhaifu wa mwili na kutokutosheka(mwili uko hivo)

Mleta maada omba Mungu awe Hana hisia kweli, Hawa wanawake wakipenda mapenzi sana Huwa hawawezi kujizuia, so wewe jifunze kumvumilia, kutafuta kuridhika kulingana na mahitaji ya Mwili siyo misingi ya ndoa,hakuna anayeweza kukuridhisha

Mfano,fikilia wewe,siku ukipata tatizo ambalo hutoweza kumsex mkeo utaidhinisha akagongwe nje!?so jifunze kupata inapobidi , na jifunze kumvumilia inapokosekana,mtazeeka
Transform ur marriage into God's piritual ways ,utagundua amani,amani,amani ndio kitu Cha muhimu ndani ya ndoa,
 
Kila mtu ataeleza hisia zake ila ukwel ni njia za uzazi wa mpango zimeleta mageuz makubwa kwa mwanamke hz njia zinaenda kuua system ya hormon na kuigeuza vile inavyotakikana na ndio zenye kusisimua tabia ya haki sawa yaan mwanamke kujiona kama mwanaume mtalaumu wake zenu bure na itafikia hatua mtaona meng kwenye ndoa kama mnashindwa kuwakataa wazungu na manjia yao ngojen muone mapinduz huu ni mwanzo
Duuh ni hatari mkuu
 
Hana hisia na wewe sio kwamba hana hisia za mapenzi. Wewe sio mtu aliempenda au niseme mtu anaemvutia ktk hilo tendo ila una mazuri yako yaliyomvutia mfano huchepuki, unajua kulea familia, unapenda watoto, mtu wa kuishi vizuri na watu n.k.
Wanawake ni watu wa ajabu sana usijiaminishe kuwa hana mtu au hachepuki, kila mwanamke awe ndoani ama lah ana mwanaume ambae hawezi kumsahau maisha yake yote aidha alimpenda au alikuwa na hisianae sana.
Hakuna kisichosahaulika duniani bro.
 
Habari wakuu,

Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.

Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.

Mimi sio mtu wa kuchepuka lakini kwa hali kama hii kidogo itapelekea kutafuta msaada nje maana hata nikipewa napata bao 1 ambalo hamu haziishi.

Nimeshafuatilia sio kwamba anachepuka hapana ila tu sijajua ni hisia zake ziko mbali au ni kwann hapendi sana kushiriki tendo la ndoa.Hakuna sababu ya msingi anayotoa labda huenda na yy hajioni kama ana tatizo labda anaona yuko sahihi au yuko sawa.

Au labda mimi nahitaji tendo mara nyingi zaidi sijui,maana mimi nina uwezo wa kufanya hata kila siku nikipewa na kwa namna ninavyompenda na hisia nilizonazo kwake ni vigumu kulala nae bila kuomba game.

Kwa wazoefu kama kuna ushauri na maoni namna ya kusaidia ili tufurahie tendo takatifu la ndoa.

Natanguliza shukrani
Wanawake wachache wanapenda kugegedana. Ambao hawajaolewa ndio hupenda sababu ni fursa adimu kwao. Ila wanaume mzuka kama kawa. Wanaochepuka sio wajinga, na wanunuzi wa dada poa wameoa hapo ndiyo utaelewa sasa.
 
Sawa, hilo tatizo kama ni la siku zote.

Jaribu kubadili namna wewe na mkeo mnawasiliana

Then kama unataka game mwandae mapema, chat zako au maongezi yako yawe ya kimahaba. through out

M'bembeleze hata kwa kitu kidogo tu.(jitahidi).
Na siku unapiga mambo hakikisha unamwandaa vyakutosha.
Mwanamke ukimwandaa vizuri lazima akitupie.

Wakati unafanya usiache kumsemesha. Msifie isifie K' yake ongea hata uongo ila uwe romantic.
Anapaswa kufurahi ili mara nyingine atake tena.

Wake za watu huwa wanaliwa kirahisi kwasababu kuna mambo waume zao hawafanyi na hii ni nature.

Narudia tena, mwandae mapema kabisa.

Mtie mshawasha tokea mchana.

Asipochange sasa uingie ndani zaidi ujue hilo tatizo lake la kihisia linasababishwa na nini.
Yaani awe anamtongoza mke wake kila siku!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom