Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

Kama anatumia contraceptives za aina yoyote ni tatizo..

Iwe vijiti, vidonge au sindano ni tatizo...
 
Habari wakuu,

Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.

Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.

Mimi sio mtu wa kuchepuka lakini kwa hali kama hii kidogo itapelekea kutafuta msaada nje maana hata nikipewa napata bao 1 ambalo hamu haziishi.

Nimeshafuatilia sio kwamba anachepuka hapana ila tu sijajua ni hisia zake ziko mbali au ni kwann hapendi sana kushiriki tendo la ndoa.Hakuna sababu ya msingi anayotoa labda huenda na yy hajioni kama ana tatizo labda anaona yuko sahihi au yuko sawa.

Au labda mimi nahitaji tendo mara nyingi zaidi sijui,maana mimi nina uwezo wa kufanya hata kila siku nikipewa na kwa namna ninavyompenda na hisia nilizonazo kwake ni vigumu kulala nae bila kuomba game.

Kwa wazoefu kama kuna ushauri na maoni namna ya kusaidia ili tufurahie tendo takatifu la ndoa.

Natanguliza shukrani
Alikuwa single mother kabla?
 
Wakati wa uchumba kabla ya ndoa hali ilikuwaje? Kama alikuwa hivyo hivyo, umeyataka mwenyewe. Ila kama amebadilika baada ya ndoa, tafuta nyumba ndogo. Ikiwezekana talaka ichukuwe mkondo wake kwa kuwa "hajui maana ya ndoa " kuna uhusiano mkubwa kati ya ndoa na tendo la ndoa.
 
mbona simpo tu
mpandishe cheo
usiombe tena k yake
akiomba jifanye umelala, koroma kabisa km simba
 
Habari wakuu,

Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.

Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.

Mimi sio mtu wa kuchepuka lakini kwa hali kama hii kidogo itapelekea kutafuta msaada nje maana hata nikipewa napata bao 1 ambalo hamu haziishi.

Nimeshafuatilia sio kwamba anachepuka hapana ila tu sijajua ni hisia zake ziko mbali au ni kwann hapendi sana kushiriki tendo la ndoa.Hakuna sababu ya msingi anayotoa labda huenda na yy hajioni kama ana tatizo labda anaona yuko sahihi au yuko sawa.

Au labda mimi nahitaji tendo mara nyingi zaidi sijui,maana mimi nina uwezo wa kufanya hata kila siku nikipewa na kwa namna ninavyompenda na hisia nilizonazo kwake ni vigumu kulala nae bila kuomba game.

Kwa wazoefu kama kuna ushauri na maoni namna ya kusaidia ili tufurahie tendo takatifu la ndoa.

Natanguliza shukrani
Hebu ni pmnamba yake
 
Back
Top Bottom