Yale uliyonishauri ni kwa sababu akili zako zilikuwa za usiku tu au mpaka sasa bado utanishauri nikimkuta yule jamaa nimzabue mikofi??sasa ..mbona umecheka .....hahahaa
Hahaha...waogopa ukimnasa makofi atakugeukia na kukujia juu mkuu"",... basi usimpige tena ilikuwa ni akili ya balimi ileYale uliyonishauri ni kwa sababu akili zako zilikuwa za usiku tu au mpaka sasa bado utanishauri nikimkuta yule jamaa nimzabue mikofi??
Msaada,
Kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka.
Sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.
Haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma.
Unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
Aisee duh! Mimi isingefikia hata kumuuliza mimi ni nani kwako. Nikimuona mtu hanisomi natambaa mbele tuHa ha hii ipogi sana endapo mwanamke akiwa hakupendi ama hana hisia na wewe yani. Tumepitia yote mie wangu alikuwa analalamika kuwa namfatilia sana ila kiukweli ukishanionesha dalili ya kutokuwa muaminifu ntakufatilia hadi ujute kunifahamu.Alikuwa na tabia ya kuanzisha affair na mtu mpya kila itokeapo yuko mbali na mimi hasa akisafiri au mi nikisafiri.
Siku tulioachana ni baada ya kugombana mda mrefu kuna njemba ilikuwa na affair nae ni danga in such ila alifanya siri ila nlishajua mapema tu kuwa ana affair nae. Ile hali ya kupigiana simu na kufuta logs pale nikitoka home tu kwenda kwenye mishe zangu ikawa inanikera kinoma. Nikamchana ila mtu habadiliki.
Siku moja nikampigia yule jamaa kumwambia very friendly kuwa anaweka stress kwenye uhusiano wangu kama vipi ampotezee dogo. Jamaa akaelewa akamrudia manzi na kumchana maana alimdanganya kuwa tulishaachana.
Kilichofata si mtoto ananipigia simu na kunilaumu kishenzi,,eti oh umeniharibia sana sijategemea we kumpigia jamaa simu. I was like WTF?! Yani mpenzi wangu kumbe hanitambui wala hatambui kuwa alilofanya ni kosa kubwa? Yeye anajiona yuko sahihi na mimi ndio zuzu.
Kitu nlichomuuliza hivi mimi ni nani kwako? Hakuweza kunijibu akanipa kavu tu sitaki kukujibu katikati ya maongezi nikambana na kauli akafikia kuropoka sikutaki nmechoka tabia ya wewe kupigia watu simu unanidhalilisha nkamwambia kama kufanya kitu sahihi ni kujidhalilisha then kila la heri!
Mpaka sasa ananipigia simu nyingi mno nazipiga nyundo tu. Sms za pokea pls ni ishu muhimu. Sitaki mazoea na mpuuzi!
xtaper
Hahahahahahahahahahaha! eee banaaaaa eeeee! hapa sasa nimekubali maanaa nlikuwa sielewi ujue, kumbe balimi tu zile daaaadeki.Hahaha...waogopa ukimnasa makofi atakugeukia na kukujia juu mkuu"",... basi usimpige tena ilikuwa ni akili ya balimi ile
Hakutaki? Mwache nyumba gani hiyo sasaMsaada,
Kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka.
Sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.
Haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma.
Unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
Hahaha ...Acha tu "" Pombe haiwezikuwa chai " Uji " wala Juice ..mkuu"" acha kabisa yaaaniHahahahahahahahahahaha! eee banaaaaa eeeee! hapa sasa nimekubali maanaa nlikuwa sielewi ujue, kumbe balimi tu zile daaaadeki.
Salute aiseee, pombe si chai uongo??
Niliamua kutumia busara tuAisee duh! Mimi isingefikia hata kumuuliza mimi ni nani kwako. Nikimuona mtu hanisomi natambaa mbele tu
Kabisa aisee, ni busara za hali ya juu ulimtumia mkuuNiliamua kutumia busara tu
fact...Huna hata sababu za kuuliza ..majibu yapo tena mepesi tu mkuu.."" Huyo anachapiwa tena anaye mchapia kamfanya mkewe amuone yeye ambaye ndiye mume wake " silolote sio chochote ....daaahh mwanamke akikwambia tuachane Fanya hima kutekeleza hilo "" LA sivyo itakula kwako "" ...mpaka ukiona anatamka maeneno fahamu kuwa haupo moyoni mwake kabisaaaaaa