hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,142
- 72,869
ha hahahaaa....hahahaaa dadeq
ha hahahaaa....hahahaaa dadeq
Nadhan bothAre you a manly man or a girly man?
Mtu anapokuwa na shida akaomba msaada tumsaidie sio kukaa kuleta maneno ya kipumbavu na kejeli zisizo na msingi tubadilike.Leo kwake kesho inaweza kuwa kwako.Ukiona huwezi kumsaidia mtu kaushaAre you a manly man or a girly man?
Tafuta pesa. Wala hutapata hii bughudha hata kidogo.Msaada kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka..sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma...unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
Umenena sana na mimi naona viashiria hivyo piaUkiona hivyo mwanamke ana hela kuliko mshikaji
Mkubwa kwangu mkuu halafu kama nlivyosema tuna undugu aiseehahahah...mamaee ungempiga hata makofi mawili akili imkae sawa kidogo
kwani mkubwa ndio hapigwi ...tena ungempiga ndio ingesaidia mnooo"" Maana angekaa chini na kutafakari vyema "" imekuwaje mtu mzima mpaka nikapigwa na mdogo wangu... yaweza kuwa sipo sahihi kweli "" wapi nakosea .....kama mdogo wangu ameweza kuyaona madhaifu yangu "" hali ikoje kwa watu wengine ambao wanayaona pia lakini hawaniambiii kwa sababu sipo Karibu nao...."" SO UNGEMCHAPA MAKOFI TU AISEEEMkubwa kwangu mkuu halafu kama nlivyosema tuna undugu aisee
Pole sana mkuu.Msaada kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka..sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma...unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"
sawa baaab! hahahahahahhahahakwani mkubwa ndio hapigwi ...tena ungempiga ndio ingesaidia mnooo"" Maana angekaa chini na kutafakari vyema "" imekuwaje mtu mzima mpaka nikapigwa na mdogo wangu... yaweza kuwa sipo sahihi kweli "" wapi nakosea .....kama mdogo wangu ameweza kuyaona madhaifu yangu "" hali ikoje kwa watu wengine ambao wanayaona pia lakini hawaniambiii kwa sababu sipo Karibu nao...."" SO UNGEMCHAPA MAKOFI TU AISEEE
sasa ..mbona umecheka .....hahahaasawa baaab! hahahahahahhahaha