Mke wangu hanitaki

Mke wangu hanitaki

Iliwahi kutokea kwa mpenzi wanhu mmoja hv, kila kukitokea sinto fahamu hata umkute anaongea na simu na inaviashiria kuani mume mwenzangu yy atakimbilia tuachane.
Ulichukua hatua gani ili kumsaidia mwenzetu afanye maamuzi?
 
Usikute ameshaanza kugegedwa na lijamaa lingine linalompa kiburi.
 
Msaada,

Kila nikimkanya au kumuonya mke wangu kuhusu jambo fulani baya anakimbilia kusema tuachane nimechoka.

Sasa kauli hizi zinanichosha sielewi ana lengo gani maana hatutoweza kupanga lokote lenye manufaa.

Haupiti mwezi hatujagombana labda nikubali kuwa bwege ila mambo mengine roho inauma.

Unakuta watu wanamtongoza ukimwambia awe makini anakuuliza "mume wangu huniamini"

Ebu naomba yake ya simu tafadhali, asikuchukie namna hiyo.....nipe hiyo namba nimfunde vizuri akupe heshima unayostahili.
 
Pole ndg. Ya kufanya yapo mengi kutegemeana ni MTU wa namna gani na wewe bado unamwonaje?.

Bado unampenda? Unafikiri ni MTU ambaye awali alikuwa ni wa kutambua makosa yake na kujutia? Kuna lolote ulilomfanya hata akafikia hatua hiyo?.

Una mpenzi au mahusiano mengine ambayo huenda kwa namna moja ama nyingine amepata taarifa? May be kupitia kwa marafiki?

Kuna maamuzi makubwa unafanya bila kumshirikisha?

Unatenga muda wa kuwa naye, mkaongea vya kutosha? Maongezi yenu ya mambo ya kawaida yakoje? Ya kubishana?

Unakunywa na kulewa sana, ukija home unakoroma tu?

Marafiki zake ni watu wa aina gani? Wanawake wenye ndoa? Single mothers? mashankupe au??

Mmejaribu kupata mimba/ mtoto mkashindwa au mkachelewa may be ana msongo wa mawazo? Umepungukiwa kipato?. Yuko overwhelmed na kazi nyingi?

Unamkaza vilivyo kama siku zote? Unatumia mbinu zote kumfikisha pale juu??. Umechunguza hajifunza tabia mbaya za mlango wa nyuma?

Kumgombeza kwa maneno mwanamke hutowezana nae. Atakushinda. It is either ajue unajua utumbo wake then mpotezeee, chuna kama hujaona kitu, maamuzi atafanya mwenyewe au kichapo heavy kidogo ila be sure you can restrict yourself to avoid disfiguring, fractures na mambo ya kuuana, kakichapo. Fulani hivi amazing kanakoleta utofauti wa ME na KE, yaani kanakokufanya upendwe zaidi.
 
Wewe ndo una shida mahali, Mwanamke anatongozwa kila saa, asa kutongozwa ndo kusalitiwa
 
Sure sure! Nlimshauri that guy toka kipindi hiko kwamba huyu mwanamke muache, hakunielewa. Its more than a year now, like a month ago nimekwenda nyumbani kwao nkalala huko (maana ni ndugu) nkakuta yule mwanamke anamuaga mumewe kwamba anaenda party ya kazini inaanza saa tatu usiku na hatochelewa kurudi mpka saa sita hivi atakuwa kasharudi. mshkaji linakubali huku linasononeka me nkaliangalia tu na uzwazwa wake
Dah halafu mbaya zaidi unajua fika kuwa haendi huko anapokudanganya kuwa anaenda! Anaenda mtombano tu,,,na nwanamke akifikia hapo hata **** inatolewa kwa masharti kinoma! Its so hard kuishi na mtu asiekupenda
 
Mm na mtizamo tofauti hapa...

Mwanamke kutongozwa ni lazima, na ni vigumu kucontrol, kwahiyo muamin kweli.

Kuhusu kumkanya jambo fulan anakimbilia kusema muachane, inawezekana kachoka na tabia zako [irrational decision] , au unakuwa unamkandamiza sana na kukosa haki zake kibinadamu...

Ungetoa mfano wa nn hasa ulimkanya akasema muachane , ingekuwa vema..
Hivi mwanamke wako akitongozwa akawa na affair pembeni kisha ukaja kugundua kuwa ana mtu zaidi yako hutaanza kuwa mkali juu ya hio tabia.
Kutongozwa ipo ila pia inategemea na level ya mtongozwaji ya kujitambua! Kama mkeo beki hazikabi still utaonekana irrational ukimkanya?
 
Iliwahi kutokea kwa mpenzi wanhu mmoja hv, kila kukitokea sinto fahamu hata umkute anaongea na simu na inaviashiria kuani mume mwenzangu yy atakimbilia tuachane.
Ha ha hii ipogi sana endapo mwanamke akiwa hakupendi ama hana hisia na wewe yani. Tumepitia yote mie wangu alikuwa analalamika kuwa namfatilia sana ila kiukweli ukishanionesha dalili ya kutokuwa muaminifu ntakufatilia hadi ujute kunifahamu.Alikuwa na tabia ya kuanzisha affair na mtu mpya kila itokeapo yuko mbali na mimi hasa akisafiri au mi nikisafiri.

Siku tulioachana ni baada ya kugombana mda mrefu kuna njemba ilikuwa na affair nae ni danga in such ila alifanya siri ila nlishajua mapema tu kuwa ana affair nae. Ile hali ya kupigiana simu na kufuta logs pale nikitoka home tu kwenda kwenye mishe zangu ikawa inanikera kinoma. Nikamchana ila mtu habadiliki.

Siku moja nikampigia yule jamaa kumwambia very friendly kuwa anaweka stress kwenye uhusiano wangu kama vipi ampotezee dogo. Jamaa akaelewa akamrudia manzi na kumchana maana alimdanganya kuwa tulishaachana.

Kilichofata si mtoto ananipigia simu na kunilaumu kishenzi,,eti oh umeniharibia sana sijategemea we kumpigia jamaa simu. I was like WTF?! Yani mpenzi wangu kumbe hanitambui wala hatambui kuwa alilofanya ni kosa kubwa? Yeye anajiona yuko sahihi na mimi ndio zuzu.
Kitu nlichomuuliza hivi mimi ni nani kwako? Hakuweza kunijibu akanipa kavu tu sitaki kukujibu katikati ya maongezi nikambana na kauli akafikia kuropoka sikutaki nmechoka tabia ya wewe kupigia watu simu unanidhalilisha nkamwambia kama kufanya kitu sahihi ni kujidhalilisha then kila la heri!

Mpaka sasa ananipigia simu nyingi mno nazipiga nyundo tu. Sms za pokea pls ni ishu muhimu. Sitaki mazoea na mpuuzi!
xtaper
 
This life.... ukiwaza ajali kweli hutanunua gari.. the same to This mahusiano...
 
Siku nyingine akikwambia tuachane mwambie sawa tuachane na ondoka hata sasa hivi
 
Piga chini fastaa uondoe msongo wa mawazo, next time oa type yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom