Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,006
- 51,512
Man huyu bwana bado yuko kwenye hatua za ukuaji kuelekea uanaume so lazima vitu kama hivi vimuumize mpaka hapo atakapo pata kukuwa na kukubali ...Inauma kuskia mwanaume mwenzetu amefikia hatua hiyo ya kutetereshwa na mwanamke, ila tumshauri tu kwa kweli. Yaani unakuta mke wako anatongozwa ukauuliza anakuletea kibesi?? duh noma sana
Kwa ushauri tu ili asiendelee kuumia. Afanye maamuzi magumu, sometimes mwanamke akikuona lege lege anakusumbua ... lakin ukiwa na misimamo uako hadhubutu kukuchezea.